Familia nyingine ni za ajabu sana

Mchukue bi Mkubwa wako mwambie unamuondoa kwenye nyumba yake unataka uishi nae kwenye chumba chako kimoja ulichopanga Dar alafu msikilize atakwambia nini, nyie watu mnachukulia mambo simple simple eeh
😂😂😂😂
 
Yaani hao jamaa ndio uwanunulie ng'ombe mbuzi na kuku ? Hao wanyama hawawezi kuiona asubuhi watakuwa wameliwa supu au kuuzwa bei ya kutupa. Hata hayo mashamba utakuwa umezalisha msitu wa kuishi majoka
Nakwambia hapo akitabaki kitu🤣🤣🤣🤣
 
Ni nani aliyekuwa akimfungulia mlango huyo mpuuzi aliye fumwa koridoni?

Ujinga wa hao kaka zako nyuma yao kuna mama yenu ndiye aliye lifanikisha hilo akidhani ana waonesha upendo na kumbe alikuwa akimhujumu mmewe na uchumi wa familia kwa ujumla.
Ni kweli malezi yamama ni mabovu
 
At least wewe ndio umetoa ushauri uliokomaa hawa wajinga wengine vichwa butu wanashauri kimemhuko wanafikiri kila mtu akiamka anagonga yai na Mkate anaupaka Blueband kumbe wengine wakiamka hawajui hata watakula nini
🤣🤣🤣🤣
 
Pole Sana ndo maisha
 
Kwanza kabisa inakupasa uelewe hakuna kitu muhimu katika maisha yetu kama familia, maana hakuna aliyechagua kuzaliwa familia fulani bali ni Mungu mwenyewe ndio aliyetuchagulia na kutupatia hizi familia na ndugu hawa wa damu tulionao its blessing 🙏.

Kiuhalisia hakuna familia inayokosa madhaifu, kila familia ina maswahibu na mahangaiko yake ila siku zote tunavumiliana madhaifu yetu na kusameheana kwajina la familia.

Na mwisho kabisa jitahidi sana kuwalea na kuwasaidia kwa dhati ndugu zako hasa zile basic needs, maana wakidhalilika huko kijijini fedheha zitakuwa kwako wewe mwenye kipato na jamii itakuhesabu ni mtu uliyewatelekeza ndugu zako na kulowea mjini kumbuka hakuna aliyefilisika kwa kutoa ihsani.

Ahsante🙏
 
Kama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.

Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
Ushauri mzuri huu
 
Ndugu... MWALIMU haya maneno ungewaambia ndugu zako yange wasaidia sana...nasikitika kukuambia kuwa humu awatayaona...ni sawa umetwanga maji kwenye kinu. Cha msingi mchukue mama ako uishi nae ili ukwepe kuwasaidia hao ndugu zako wengine.​
Bi mkubwa miaka 60+ nimchukue nije niishi nae dsm uswaz kwenye nyumba za kupanga mi mwenyewe sijaowa halafu nakaa chumba kimoja
 
Acha tu ndugu yangu
 
Hakika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…