Familia nyingine ni za ajabu sana

Kweli kuna familia ni hovyo sana.

Nimekumbuka ile stori ya jamaa mmoja alileta hapa kuwa wazazi wake ni watu wa hovyo, yaani baba yake hadi hivyo sasa anaishi nyumbani kwao kwa baba yake(babu)[emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sawa mkuu nitajitahidi kuchukua hatua
 
Kweli kabisa
 
Shida huyu ana asili ya uchoyo ukimpa mtu oitu uwezi kumkata asitumie na mtu nisawa kumpa mtu gari afu umkataze asipakie rafiki zake
Kaka ungejua maisha yangu hata usingesema hivo mi mwenyewe sina kitu naunga unga lakini wao kwanini wakubali kukaa wakat ni watu wazima wanaweza kuhustle uwezo wangu ni mdogo sana sina uwezo wa kulisha familia ya watu wengi
 
Pole sana mdogo wangu... Wakati mwingine hizi huwa ni roho na maagano ambayo hatuwezi kuyang'amua kwa macho ya kawaida. Inahitaji kufanya sana sala/dua na kufunga ili kujikomboa kutoka katika vifungo hivi.
Ahsante sana bro
 
Mchukuenj mama mkaishi.nae...ila hawakawii kuuza nyumba Kwa Tabia ulizielezea Mkuu...poleni sana aseee
Nikaishi nae wapi mi pia naunga unga na sina mke huyo mama wa miaka 60+ ntakaa nae room moja hiyo mo ngumu
 
Mimi sina kipato chochote mkuu
 
Kama kuna uwezekano, mchukueni bi Mkubwa muishi nae alaf nyumba pangisheni. Haya majamaa yaachieni chumba kimoja.

Hakikisheni hati na documents muhimu za nyumba mnazitoa hapo home. Baada ya hapo, hakuna tena sababu ya kuwatumia hela ya matumizi
yata choma nyumba, haya majamaa nayajua sana
 
Waafrica uwa wanadhani wazungu hawana uwezo WA kuzaa watoto kibao ,wazungu ufanya ivyo Kwa sababu watoto wachache ni rahisi kuwa manage unavyotaka wawe ,tofauti na watoto wengi,pole sana ,mzee wako alifanya kosa kuzaa watoto wengi pia kunaweza kuwa na mikosi kwenye family pambania maombi,pia usirudie kosa la kuzaa watoto wengi mwisho WA siku utashindwa kuwa manage na wataibukia majambazi ndani ya family,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…