Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,120
REPOTER KASOME NAMNA YA KUANDIKA HABARI HATA ZA NYUMBANI KWAKO UNATOA TAARIFA INAYOACHA MASWALI MENGI BILA MAJIBU HATA HIVYO MAMBO HAYO HUTOKEA KWA SABABU MKE AU MUME ALIPATIKANAJE KWA KUUMIZA WENGINE AU KUDHULUMU WENGINE NI NGUMU SANA KUTOKEA .Umuofia Kwenu wana JF,
Bonne Annee and X-mas!!
Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto maeneo ya Sahare tanga! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu.
View attachment 1660824
View attachment 1660825
View attachment 1660826
View attachment 1660828
Bado inaleta maswali, wamekufa familia nzima nani ameweza kujua yaliyotokea na kueleza chanzo?Jamaa alirudi home amelewa
Akataka kupasha msosi ale ,akawasha gesi hakuona kiberiti.akatafuta kiberiti wee akaja kukipata late.kuwasha kumbe gesi ilikuwa ishasambaa sana
Mume amefia njiani so alielezabado inaleta maswali, wamekufa familia nzima nan ameweza kujua yaliyotokea na kueleza chanzo?
Dooh masikini! Wapumzike kwa amani..Mume aliwasha jiko la gesi kupasha kiporo saa tisa usiku
REPOTER KASOME NAMNA YA KUANDIKA HABARI HATA ZA NYUMBANI KWAKO UNATOA TAARIFA INAYOACHA MASWALI MENGI BILA MAJIBU HATA HIVYO MAMBO HAYO HUTOKEA KWA SABABU MKE AU MUME ALIPATIKANAJE KWA KUUMIZA WENGINE AU KUDHULUMU WENGINE NI NGUMU SANA KUTOKEA .
Mkuu mbona unawaza kwa level ya chini sana? Kwaswala hili ni kwamba Mme hajafia kwenye eneo la tukio alikimbizwa hospital possible alieleza kilichotoea ila hata kama wangekufa wote haizuii kwa wataalamu(wachunguzi) kujua chanzo cha moto(Forensic investigation).Wabongo bana duh.
Yani hawa wamekufa wote,chanzo hakijulikani ila mbongo anakwambia jamaa aliyafuta kiberiti masaa matatu ndo akakipata akawasha gesi.
Utadhani nae alikuwepo kwenye tukio dah.