Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

Exactly Engineer ersi tumekuwa wote pale Ilala ni simba pure kabisa yani yule kindakindaki biashara tu ndio imemfanya yupo pale
 
Kama wanaleta Makombe kwa njia Kuna shida gani?
 
Haijalishi mkuu kikubwa wao wanafanya biashara na wanaona wanapata faida na malengo ya timu yanatimizwa

Ndio Kwanza nasikia kwako kuwa n wazawa wa ruvuma nasikia wazawa wa tanga songea walienda kuwekeza katka kilimo
Ruvuma moko hao,nyumbani kwao na ndio maana kuna kipindi walijaribu kuidhamini hadi majimaji
 
 

Attachments

  • Ny.jpeg
    16.5 KB · Views: 10
Hata Familia ya MANJI nayo ni SIMBA SC watupu. Hakuna anayetaka ushabiki wao, Sisi tunataka PESA zao tu.
Manji sina uhakika, ila GSM ni mnyama halisi lakini mwenye interest ya mapato zaidi
 
inahusu?
 
Makolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bunk,hokum
 
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.

Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.

“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga

Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…