- Thread starter
- #21
Tuliza kipago weweKwa hiyo unataka tukusaidie nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza kipago weweKwa hiyo unataka tukusaidie nini?
Umepaniki!Tuliza kipago wewe
Kama wanaleta Makombe kwa njia Kuna shida gani?Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Hata Rostam Aziz wote ni Kolo wa kufa mtu
Hata Familia ya MANJI nayo ni SIMBA SC watupu.
Hakuna anayetaka ushabiki wao, Sisi tunataka PESA zao tu.
[emoji23][emoji23]
Ruvuma moko hao,nyumbani kwao na ndio maana kuna kipindi walijaribu kuidhamini hadi majimajiHaijalishi mkuu kikubwa wao wanafanya biashara na wanaona wanapata faida na malengo ya timu yanatimizwa
Ndio Kwanza nasikia kwako kuwa n wazawa wa ruvuma nasikia wazawa wa tanga songea walienda kuwekeza katka kilimo
Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Manji sina uhakika, ila GSM ni mnyama halisi lakini mwenye interest ya mapato zaidiHata Familia ya MANJI nayo ni SIMBA SC watupu. Hakuna anayetaka ushabiki wao, Sisi tunataka PESA zao tu.
inahusu?Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
[emoji16][emoji16][emoji16]Makolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri
Bunk,hokumFamilia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Relaxinahusu?
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.