Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Kwa sasa ni shamba la bibi watapatiwa bila shida
 
Wanaoitwa wajanja wataanza michongo ya kujipatia mihela ya burebure !!
 
Hayati anawatesa sana!
Na kwa taarifa yenu kadri mnavyotaka kumchafua, ndo hata wale ambao walikuwa hawampendi, wanaanza kumpenda!
Nafikiri hii nguvu inayotumika kumchafua Hayati, ingetumika kurahisisha maisha ya Watanzania wanyonge, ingependeza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…