Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Kwa sasa ni shamba la bibi watapatiwa bila shida
 
Wanaoitwa wajanja wataanza michongo ya kujipatia mihela ya burebure !!
 
Hayati anawatesa sana!
Na kwa taarifa yenu kadri mnavyotaka kumchafua, ndo hata wale ambao walikuwa hawampendi, wanaanza kumpenda!
Nafikiri hii nguvu inayotumika kumchafua Hayati, ingetumika kurahisisha maisha ya Watanzania wanyonge, ingependeza sana
 
Hawana nguvu siku hizi
IMG_20230307_193109.jpg

Hao ndio ACT WAZALENDO wanaounda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa TANZANIA VISIWANI, yaani ZANZIBARI na kama ukihitaji kuwafahamu zaidi, soma hapa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana
 
Back
Top Bottom