Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lako ubongo umeharibika kama hizo nepi unazovaa.We askari wa zenji tulia basi
Jamaa walikuwa wanamtrap movements kwa simu yake, akamwacha nayo dreva wa semi inayotoka iringa to dar,, yeye akasepa,, jamaa wanafuata simu kumbe iko na shovel bana,, 😁😁Mtu aliyetaka kumpindua Nyerere sio mtu wa mchezo,Nyerere likuwa anaogopeka Magufuli haoni ndani
Yule mzee nilimtetea tangu mwanzo, wakati bunge eti limekaa kujadili escrow,, hakuwa na kosa,, na alikula mstand mpaka dakika za mwisho,Yule mzee Ruge ni noma zaidi ya noma
Yani kamdindia Magufuli akiwa jela mzee alivyo mustendi 😀 😀 😀Yule mzee Ruge ni noma zaidi ya noma
Na alisema wazi, pesa zipo sana hii nchi,, kuna watu wanazo na tutawakamua, zitokee tundu lolote la mwilini😆Magufuli ili akusamehe ni lazima mpunga ukutoke tu ,iwe waziwazi au kimya kimya.
Ilikuwakama kituo cha polisi,kuingia bure kutoka na hela
Mkuu kwani hujaona yale mapicha ambapo Biswalo alikuwa anapokea hard cash?Ni ngumu kama alitoa cash,ila kama ni bank transfer ni rahisi kuitetea
Kwa sasa ni shamba la bibi watapatiwa bila shidaKama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.
Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008
Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.
Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.
Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.
Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.
Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.
RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Wanaoitwa wajanja wataanza michongo ya kujipatia mihela ya burebure !!Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.
Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008
Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.
Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.
Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.
Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.
Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.
RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
HAKIKA ULIKUWA NI USIKU WAFURAHA SANA . USIKU ULE WA MARCH 17Afadhali Mungu aliamua hakika.
Achafuke mara ngapiHayati anawatesa sana!
Na kwa taarifa yenu kadri mnavyotaka kumchafua, ndo hata wale ambao walikuwa hawampendi, wanaanza kumpenda!
Nafikiri hii nguvu inayotumika kumchafua Hayati, ingetumika kurahisisha maisha ya Watanzania wanyonge, ingependeza sana
Hawana nguvu siku hizi
Jamaa alikuwa jasiri sana.Jamaa alikuwa ana jeuri maana aliingia mahakamani hana wasiwasi mikono mfukoni anacheka tu [emoji16] anamwambia askari hujambo askari anabaki anacheka tu