Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

1996 nilikua sekondari, potential ya kkoo kipindi hicho haikua sawa na Sasa, mshahara wa mtumishi ulikua elf60 afisa wilayani,Dola moja ya marekani 1995 ilikua sawa na tsh 570,siyo hela ya maana hiyo 300m ya tz kwa ulaya,sky ilikua ya Murdoch na 2018 nimeona ilinunuliwa na Comcast
Yaani kitu ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa, kwa mataifa yaliyoendelea hususani ULAYA unaweza ukafanya PURCHASING BARGAIN ili kuongeza thamani ya bidhaa au kitu chako.

Hii huwa inafanyika mara nyingi kwa mataifa ya ULAYA pamoja na MAREKANI, kikubwa huwa inafanyika ili kukwepa kodi au kutangaza bidhaa na kufanya kuwa maarufu zaidi, lakini wamiliki halali wanabaki kuwa ni wale wale.

Hali hii ya PURCHASING BARGAIN ilishafanyika TANZANIA kwenye makampuni ya mawasiliano kama AIRTEL.

Hii kampuni ya AIRTEL, mwanzoni ilikuwa inaitwa ZAIN baadae ikaja kuitwa AIRTEL. Sasa kisheria, hii ya kampuni ya ZAIN ilikuwa inaonekana kama imeuzwa lakini tangu ilivyokuwa ZAIN na hatimae AIRTEL mmiliki bado ni yule yule.

Hali kadhalika, kwa SKY SPORTS wamiliki bado ni wale wale waanzilishi na ukitaka kufahamu mambo mengi kuhusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA soma huu uzi wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.
 
Ndio, ni kweli! Hata kipindi BOSS BOSS anasamehewa kesi ya UHAINI na kuachiwa huru kipindi cha MZEE RUKSA.

Wale wote waliokuwa watuhumiwa wa kesi ya UHAINI walisaidiwa KIUCHUMI na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kipindi hicho, BIBI TITI MOHAMMED alipelekwa kwenda kuishi JOHANNESBURG, nchini AFRIKA YA KUSINI na BOSS BOSS alipewa nafasi ya UKURUGENZI na kusimamia kampuni ya kusafirisha mafuta.

Hiyo kampuni ya kusafirisha mafuta ni ya wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA, yaani SHIRECU.
 
Ni kweli nilitaka kushangaa huyu kakaa jela miaka yote hii katoa wali mtaji ghafla hivi kumbe kuna watu wako behind
 
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Uongo uongo hakuna hela watakayodai na hawatajaribu kudai
 
Kazi ya kuzirudisha imeanza kuna timu imeshateuliwa na watu wameanza kuhojiwa
Mimi nipo hapa na wewe upo na kuhakikishia hakuna litakalotokea kwani ni uongo hakuna pesa ikiyoibiwa wala kutoroshwa ! Wewe jiulize wahusiks wote wamekufa?
 
Ni kweli nilitaka kushangaa huyu kakaa jela miaka yote hii katoa wali mtaji ghafla hivi kumbe kuna watu wako behind
Ndio! Na MISTER ABILITY ndiye aliyemsaidia BOSS BOSS mpaka umauti unamkuta.

Yaani kwa LUGHA nyingine, tunaweza kusema hivi BOSS BOSS amefika hapo kwa sababu ya MISTER ABILITY na ndio maana alikuwa kwenye KAMATI YA USAJILI WA TIMU YA SIMBA SC.

TIMU YA SIMBA SC inamilikiwa na MISTER ABILITY na kampuni aliyokuwa anasimamia BOSS BOSS ni kampuni ambayo inamilikiwa na MISTER ABILITY.

Ili kuwafahamu hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA, soma hapa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.
 
Kani kitu ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa, kwa mataifa yaliyoendelea hususani ULAYA unaweza ukafanya PURCHASING BARGAIN ili kuongeza thamani ya bidhaa au kitu chako.

Hii huwa inafanyika mara nyingi kwa mataifa ya ULAYA pamoja na MAREKANI, kikubwa huwa inafanyika ili kukwepa kodi au kutangaza bidhaa na kufanya kuwa maarufu zaidi, lakini wamiliki halali wanabaki kuwa ni wale wale.

Hali hii ya PURCHASING BARGAIN ilishafanyika TANZANIA kwenye makampuni ya mawasiliano kama AIRTEL.

Hii kampuni ya AIRTEL, mwanzoni ilikuwa inaitwa ZAIN baadae ikaja kuitwa AIRTEL. Sasa kisheria, hii ya kampuni ya ZAIN ilikuwa inaonekana kama imeuzwa lakini tangu ilivyokuwa ZAIN na hatimae AIRTEL mmiliki bado ni yule yule.

Hali kadhalika, kwa SKY SPORTS wamiliki bado ni wale wale waanzilishi na ukitaka kufahamu mambo mengi kuhusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA soma huu uzi wa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.
Kijana uwe una-dig deep, Airtel ilikua celtel kabla ya kuwa zain,sky news imeanzishwa 1988,ikaenda hewani 1989...weka ushabiki wako pembeni na utazame ukweli
 
Ndio! Na MISTER ABILITY ndiye aliyemsaidia BOSS BOSS mpaka umauti unamkuta.

Yaani kwa LUGHA nyingine, tunaweza kusema hivi BOSS BOSS amefika hapo kwa sababu ya MISTER ABILITY na ndio maana alikuwa kwenye KAMATI YA USAJILI WA TIMU YA SIMBA SC.

TIMU YA SIMBA SC inamilikiwa na MISTER ABILITY na kampuni aliyokuwa anasimamia BOSS BOSS ni kampuni ambayo inamilikiwa na MISTER ABILITY. Ili kuwafahamu hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA, soma hapa Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.
Mwenye Airtel ni mhindi Bharti,zain ni ya mwarabu
 
Ndio, ni kweli! Hata kipindi BOSS BOSS anasamehewa kesi ya UHAINI na kuachiwa huru kipindi cha MZEE RUKSA.

Wale wote waliokuwa watuhumiwa wa kesi ya UHAINI walisaidiwa KIUCHUMI na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kipindi hicho, BIBI TITI MOHAMMED alipelekwa kwenda kuishi JOHANNESBURG, nchini AFRIKA YA KUSINI na BOSS BOSS alipewa nafasi ya UKURUGENZI na kusimamia kampuni ya kusafirisha mafuta.

Hiyo kampuni ya kusafirisha mafuta ni ya wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA, yaani SHIRECU.
Hao walioachiwa na mwinyi kesi ya uhaini walikua na Hali mbaya ya maisha,walisaidiwa na nani!?.. mmoja alikua na kufa akiwa mmachinga,we taarifa zako unapata wapi!?
 
Watanzania na wale washabiki wa Simba waunge mkono Kwa nguvu zote watu wote walioporwa pesa zao Hali na yule Nyang'au na washirika wake watendewe haki.
Pia Biswalo , Kabudi na waziri wa fedha wakati huo walio shiriki kuiba na kuhamisha pesa hizo kwenda China wawajibishwe na Sheria zetu zilizopo.
Ni aibu Rais wetu anatangatanga Dunia nzima na mashirika ya kimataifa kutafuta pesa za shughuli za umma halafu Kuna watu wanahamisha zingine bila hofu
Waanze na za GSM ambazo hazilipiwi kodi zinasafirishwa kwenye makontena kwenda china.
 
Kijana uwe una-dig deep, Airtel ilikua celtel kabla ya kuwa zain,sky news imeanzishwa 1988,ikaenda hewani 1989...weka ushabiki wako pembeni na utazame ukweli
Ndio hivyo inavyofanyika! CELTEL baadae ZAIN na ikaja AIRTEL wote ni wamoja na ni sawa kabisa kwa BUZZ baadae MOBITEL na ikaja TIGO TANZANIA hawa pia wote ni wamoja.
 
Tigo ni kampuni ya Scandinavia huko,buzz sijui ni wapi,ni wawekezaji tofauti,wakati tigo ni ya watu binafsi totally Airtel Kuna hisa za serikali zisizopungua 33%,sababu celtel ilitumika rasimali za ttcl,Kama ilivyo nmb na NBC,kadhalika crdb
 
Back
Top Bottom