Kani kitu ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa, kwa mataifa yaliyoendelea hususani ULAYA unaweza ukafanya PURCHASING BARGAIN ili kuongeza thamani ya bidhaa au kitu chako.
Hii huwa inafanyika mara nyingi kwa mataifa ya ULAYA pamoja na MAREKANI, kikubwa huwa inafanyika ili kukwepa kodi au kutangaza bidhaa na kufanya kuwa maarufu zaidi, lakini wamiliki halali wanabaki kuwa ni wale wale.
Hali hii ya PURCHASING BARGAIN ilishafanyika TANZANIA kwenye makampuni ya mawasiliano kama AIRTEL.
Hii kampuni ya AIRTEL, mwanzoni ilikuwa inaitwa ZAIN baadae ikaja kuitwa AIRTEL. Sasa kisheria, hii ya kampuni ya ZAIN ilikuwa inaonekana kama imeuzwa lakini tangu ilivyokuwa ZAIN na hatimae AIRTEL mmiliki bado ni yule yule.
Hali kadhalika, kwa SKY SPORTS wamiliki bado ni wale wale waanzilishi na ukitaka kufahamu mambo mengi kuhusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA soma huu uzi wa
Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana.