mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma