Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Familia ya hayati Azori Gwanda na Ben Saanane, inajisikiaje hawajapat hata maiti za wapendwa wao?!!!
 
Pengo kubwa la kipato kati wenye nacho na wasionacho ni KUBWA Sana!

Pengo Hilo linazalisha kina jpm wengi Sana KILA uchwao!

Tulikuwa na JPM mkristo BADO JPM muislamu anakuja kama sio Mimi ni mwingine!!

Nani atavumilia ujinga huu uliopo!?

Yaani umeme kama kibatari,RC Gari la million 500 WAKATI walipa kodi wanajua msoto!!

Kina jpm tutakaotukanwa tupo WENGI TU tena waanze kututukana Sasa!

Walimu wanagawiwa vishkwambi badala ya kuwaongezea mishahara Halafu wanaambiwa marufuku kuongea kiswahili darasani wakati wanafunzi wa formone hawana ujuzi wa kiingereza bado upigaji mwingine tu! Eti VIJANA pendwa wanajiandaa na urais!!!


Labda wazuie nisipenye!sitojali huyu ni Mtoto wa Nani!nitaheshimu na kujali VIJANA wa NYERERE tu!!

Sheria zipo kwaajili ya wote hata marais wastaafu wataingizwa mahabusu kama waliiba fedha za umma!!
Mwalimu unataka kupenya,kama sio mwenzao hupenyi hata kidogo ,just for your information
 
Back
Top Bottom