kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Kiongozi anayeongoza taasisi kwa miaka zaid ya 20, na taasisi imekua ikipata ruzuku ya 300m per month kwa miaka 5 mfululizo, kiongozi huyo ameshindwa kujenga hata ofisi ya ya milion 30 ataweza kuongoza nchi?
Kiongozi anayepanda jukwaani akiwa amelewa, anazaa ovyo na wanachama na wakati ana ndoa ya kikristo ataaminika?
CCM siipendi lakini mbadala wake simuoni hapa nchini kwa sasa.. na ile kauli ya mwalimu Nyerere kua "mimi nang'atuka lakini naendelea kuamini kua bila CCM imara nchi yetu itayumba" ni ya kweli kabisa