Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Hiyo mimba jifungue tutaleaNyie wajane wake ndiyo mnakaribisha hayo mnayoita matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mimba jifungue tutaleaNyie wajane wake ndiyo mnakaribisha hayo mnayoita matusi
Waliandika vitabu vizuriMbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
uck ..him huko alikohate that niggaKabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Unaweza kumuibia mtu atasahau,lakini siyo kumtesa kumfunga na kumuuwa, niseme tu alikuwa rais mbaya sana, kuwahi kutokeaKabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Mbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
Magufuli alikuwa katili na muuaji lazima atukanwe mpaka siku ya mwishoKabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Wewe hujiulizi kwanini akina Halima Mdee na wenzake wako bungeni na mambo yanakwenda Bila shida?Usichanganye siasa na Yesu.
Yesu alisena tuuane kwenye viroba
Mkuu humu wafuasi wa DJ na wazuri hawafi wana id ishirini ishirini hawafiki hata mia ndio maana jukwaani wanaomsema vibaya ccm na ufipa hawazidi mia.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Mkuu u mitandaoni wa Janeth naye anayasoma
Huyo bado mtoto mdogo haelewi kituWametukanwa sana tena sana, pengine wewe uliyafunga masikio yako. Lakini ukweli Ni kuwa sio mila wala desturi zetu, kuwatukana waliotutangulia
Aisome Kulwa Jilala kwa taarifaWatanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Wameacha legacy gani zaidi ya kulamba asali na kutoka. Kinachowasumbua Punguani wengi ni impact alizofanya Jpm in a very short time. Rip shujaa wa Africa.Mbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
Magu uko nae moyoni kwako, sio kila mtu anae moyoni mwake. Usitusemee sisi wengine. Mwache ahukumiwe kwa matendo na kauli zakeIkiwa matusi na lawama kwa hayati magufuli ndio agenda ya chadema,basi wahesabu wamepotea hata kabla hawajaanza.
Tena they should not go with it as it is....itawacost san
Nilitegemea uwashauri viongozi waache kuua na kuteka watu ili kuepusha kutukanwa. Pia waache kutukana wengine ili wasirudishiwe matusi. Magu alipanda matusi, unakumbuka aliwaambia wastaafu waache kuwashwa washwa? Majaliwa aliambiwa shangazi zake watachapwa? Bukoba wakaambiwa yeye hajaleta tetemeko. Hayo ni matusiWatanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.