Wale walikuwa WatawalaMbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
cc: BavichaWatanzania tunamambo ya hovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Hilo nalo ni tatizo kuna watu wanadhani atafufukaWatanzania tunamambo ya hovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Ukiwa Mtawala inatukanwa Katiba siyo WeweHuyu alikuwa dikteta ndio maana anatukanwa sio
Kweli wewe hujui Magufuli alikosea wapi!!!? Samia mwenyewe anahangaika kurekebisha maelfu ya makosa aliyofanya huyo mtu wenu. Juzi tu Samia ameondoa katazo la mikutano ya siasa lililowekwa na dikteta; hujui bado Magufuli alikosea wapi?!!!Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Wale misukule yake ndiyo wanasababisha yote haya kila siku wanapandisha nyuzi za kumtukuza wakati wanajua kuwa mtu wao alijeruhi wengi.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Nyie wajane wake ndiyo mnakaribisha hayo mnayoita matusicc: Bavicha
Usichanganye siasa na Yesu.Ukiwa Mtawala inatukanwa Katiba siyo Wewe
Ukiwa kiongozi yanatukanwa maono
Ndio sababu mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Shujaa Maguful hakuzuia Mikutano ya hadhara bali walioizuia ni Kamati kuu ya CCM
Nyie vijana wa dotcom ni ngumu kuelewa haya
Huwezi Kuwa na Kiongozi halafu uwe na Katiba
Kiongozi ndiye Katiba
Yesu ndiye Neno la Mungu!
Kwani mitume walikuwa wauaji?Hata mitume walitukanwa
Ni gharama za uongozi
Aliacha ameua mamia wasio na hatiaWatanzania tuna mambo ya ovyo, muhusika alikwisha kufa na hatarudi tena pamoja na kuwepo kwa sheria inayowalinda viongozi, lakini bado wapo wanaomuabudu na kumtii wakidhani atarudi! Harudi tena huyo fanyeni mambo mengine yenye tija.
Jiuaji bladifakeni JiweUkiwa Mtawala inatukanwa Katiba siyo Wewe
Ukiwa kiongozi yanatukanwa maono
Ndio sababu mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Shujaa Maguful hakuzuia Mikutano ya hadhara bali walioizuia ni Kamati kuu ya CCM
Nyie vijana wa dotcom ni ngumu kuelewa haya
Huwezi Kuwa na Kiongozi halafu uwe na Katiba
Kiongozi ndiye Katiba
Yesu ndiye Neno la Mungu!