Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

Siasa za Tanzania kila kitu kinawezekana... Kama MO Dewji alikuwa mbunge Singida, unadhani mtu mwenye jina la Magufuli atapata tabu Geita?

Anyways, Mama anajua Kanda ya Ziwa ana tatizo, hizi move za Naibu Waziri Mkuu na Mwenezi mpya, zimekuja kutengeneza mazingira ya 2025 kanda ya ziwa
 
Yes ni mkakati muhimu kuendelea kuifariji familia na kanda ya ziwa kwa ujumla, Yupo kule naibu waziri mkuu, waziri Bashungwa, waziri Myeti na muenezi nae anatoka ukanda huo huo wa ziwa. Na muenezi atakua hapo karibuni kulay down the stage kwa kijana ya Mzee kuaanza kupiga jeramba na kumjambisha mbunge wa sasa.

Chama makini, viongozi hodari, wagombea mahiri na sahihi kwa wakati muafaka..
Kidumu Chama Cha Mapinduzi....
 
Kumbe bado kuna watu mnaamini magufuli alikufa kwa Corona??
 
Una Jina kubwa jukwaani lakini huna AKILI, hii post imeonyesha ulivyo mweupe kichwani. Wakati mwingine ni busara kuficha UPUMBAVU WAKO.
 
Furaha si anaitaka Kawe ? Maana ndio ana base kubwa
 


Kama anataka u Rais kweli basi asiendelee kuwa diss wenzake, si vyema kutengeneza maadui
 
Ccm chama changu wagumu kujifunza hata Mungu akiwafundisha hawaelewi!

Ndugu zangu 2025 ni Mbali sana mazee!

Kuna sarakasi kibao naziona zitagharimu wengi sana!JPM hawezi kwenda peke yake yule alikua mutu mkubwa!

Huyo mnaedhani atagombea mnafikiri moyonwake utakuaje pale suspects wakianza kushughulikiwa!!?

Suspects wanini!?jijibu mwenyewe!!

Makonda kaja kuwasha moto ambao ukiwaka tu na kukolea Tanzia zitakua za kutosha !

Ngoja kwanza wamng'oe namungo fc halafu muone nini kitatokea!dalili zajionyesha kabisa chama kina taka kusafisha takataka,huyo aliempendekeza mkonda nampigia salute tatu coz anaenda ku signal watu kushughulikiwa ipasvyo!!

Kaa kimya omba Mungu uone matendo yake ya ajabu

Mungu ibariki Tanzania!!
 
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Umeongea vizuri! Lijitokeze genge la majambazi na magaidi na wauza unga na uharamia wa kimataifa! Hawa watu wanahela chafu wanaweza kusimamisha wagombea na kama nchi isipokuwa makini kwa kigezo cha wingi wa kura nchi inaweza kuangukia pabaya! Wingi wa kura sio kigezo cha kukupa nchi! Kwamfano CHADEMA tuliwaona kipindi cha corona walivyokimbia bunge na kufungamana na mabeberu! Tungewapa ikulu huwe na uhakiki wangetuweka 'rock down' mpaka tufie ndani! CCM pamoja na mapungufu yao lakini kwasasa hatuna chama mbadala
 
Tabu yote ya nini, wampe tu ubunge kisha awe makamu wa makamu wa rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…