Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui maana ya mfumooTume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Siasa za Tanzania kila kitu kinawezekana... Kama MO Dewji alikuwa mbunge Singida, unadhani mtu mwenye jina la Magufuli atapata tabu Geita?Magufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi
Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,
Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.
Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.
Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani
Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
OkNchi makini haiwezi kuruhusu mtu kama Mdude aongoze hata wafagizi wa stendi
Yes ni mkakati muhimu kuendelea kuifariji familia na kanda ya ziwa kwa ujumla, Yupo kule naibu waziri mkuu, waziri Bashungwa, waziri Myeti na muenezi nae anatoka ukanda huo huo wa ziwa. Na muenezi atakua hapo karibuni kulay down the stage kwa kijana ya Mzee kuaanza kupiga jeramba na kumjambisha mbunge wa sasa.Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Kumbe bado kuna watu mnaamini magufuli alikufa kwa Corona??Magufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi
Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,
Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.
Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.
Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani
Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
Una Jina kubwa jukwaani lakini huna AKILI, hii post imeonyesha ulivyo mweupe kichwani. Wakati mwingine ni busara kuficha UPUMBAVU WAKO.Magufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi
Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,
Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.
Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.
Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani
Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
Huu sasa ni utani. Kwa Tanzania ya CCM kama Samia ameweza kuwa rais huoni hata Amber Rutu anaweza?Nchi makini haiwezi kuruhusu mtu kama Mdude aongoze hata wafagizi wa stendi
Hata mimi nashangaa! Wakati alikufa kwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa!Kumbe bado kuna watu mnaamini magufuli alikufa kwa Corona??
Umeongea pumba msssssssengeTume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Furaha si anaitaka Kawe ? Maana ndio ana base kubwaMagufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi
Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,
Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.
Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.
Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani
Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Ccm chama changu wagumu kujifunza hata Mungu akiwafundisha hawaelewi!Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Umeongea vizuri! Lijitokeze genge la majambazi na magaidi na wauza unga na uharamia wa kimataifa! Hawa watu wanahela chafu wanaweza kusimamisha wagombea na kama nchi isipokuwa makini kwa kigezo cha wingi wa kura nchi inaweza kuangukia pabaya! Wingi wa kura sio kigezo cha kukupa nchi! Kwamfano CHADEMA tuliwaona kipindi cha corona walivyokimbia bunge na kufungamana na mabeberu! Tungewapa ikulu huwe na uhakiki wangetuweka 'rock down' mpaka tufie ndani! CCM pamoja na mapungufu yao lakini kwasasa hatuna chama mbadalaTume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Tabu yote ya nini, wampe tu ubunge kisha awe makamu wa makamu wa rais.Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.