GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nashukuru 29 Oktoba nitakuwa shamba! Nitafuatilia matokeo kwenye Luninga!
 
aione Chauma na ACT aka Zito
 
Tunaendelea kuwapongeza sana MAMA na MWANA kwa hatua hii ya kupita bila kupingwa chamani, hakika hawa watapita bila kupingwa na watia nia ubunge wa upinzani.

Hakika Kikwete's family is the Tanzania's new royal family.
 
nilikuwa naenda kuchukua form chalinze, siunajua maroli yalivyo mengi nikaendeshaweee kwakuwa niliwahi mapema magari machache nilichochea haswa mara naona kibao cha msamvu, kha nikatafuta sehemu nikanywanchai nikageuza mbio kufika chalinze nikakata, huyo speed mara naona kibao cha mkata, khe nikarudi huyu valuvalu mara naona kibao cha mapinga, ohooo nikanyoosha kwenda home.
 
Na kuna mwingine kule Handeni anaitwa Kibakuli ni familia ya jk
 
Umeandika utumbo
 
Hebu acha ujinga na wewe. Yule mtoto wa mbunge (mama) alifariki wakampa mtoto jimbo kumrithi morogoro alikuwa anaongea utumbo bungeni nae ana karma? Wanapeana na huo ndio ukweli
 
Mlisema huko nyuma wavaa kobazi hawakusoma, hivi sasa wamesoma
 
Hebu acha ujinga na wewe. Yule mtoto wa mbunge (mama) alifariki wakampa mtoto jimbo kumrithi morogoro alikuwa anaongea utumbo bungeni nae ana karma? Wanapeana na huo ndio ukweli
wananchi waliwachagua
 
Hapo hamna ukweli wowte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…