GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa jinsi watu wanavyosifia maujinga ya akina kikwete kwenye huu uzi najiona nikipigwa ban tena coz this is unbearable anymore..
 
Ukila na Kipofu Sharti usimguse Mkono..., tatizo hawa sio tu wanawashika mikono bali na kuwapigia chafya na kuwatemea mate....
 
Aiseeee hii pumba ya nguruwe au ngo'mbe
 
Nilipo soma ikabidi nirudi niangalie I'd... Maana nilijua ni chawa Lucas msha.... 😁, kumbe comrade Mmawia😁😁
 
Hii nchi pambana kwa ajili yako na familia yako.... watanzania wengi ni vipofu, utapoteza muda!
 
Wewe ulichokiandika kina ushahidi hivi mnakuwa mnafikiri watu akili zao ni ndogo kiasi gani bata wewe
ndiyo ushahidi upo,amekuwa mgombea pekee kwa vile hakuna aliyechukua form. Case closed.
 
Acha wale mema ya nchi na wafurahie uhuru alioupigania mwl Nyerere lkn kila jambo hapa dunian lina mwisho tu
 
Haya matukio yanafikirisha sana

K-South " Nawaza lakini majibu sipati"
 
Hili jambo ni baya sana kwa familia ya Dkt Kikwete. Tuombe Mungu mambo yasibadilike yaendelee kuwa hivi hivi ila siku yakibadilika ni vilio. Ningekuwa mimi basi ningetafuta hata wamchongo ili kuepuka kujionesha nina nguvu chamani
 
Wa kuwalaumu ni CCM wa hayo majimbo.
 
Hili jambo ni baya sana kwa familia ya Dkt Kikwete. Tuombe Mungu mambo yasibadilike yaendelee kuwa hivi hivi ila siku yakibadilika ni vilio. Ningekuwa mimi basi ningetafuta hata wamchongo ili kuepuka kujionesha nina nguvu chamani
Wazo la kumtafuta mtu wa kudanganyia ni zuri sana lkn ujue ni mtu mcha Mungu tu anaweza kuwa na wazo Hilo la kuogopa jamii iliyo mzunguka. Lkn wao wanajiona hawana cha kuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…