Wivu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaenda kuhiji, wanaruhusiwa!We unaona ni sawa kaburi la ndugu yako kugeuzwa sehem ya kisiasa.
Pumba.. ..kwa hiyo unafikiri akiamka ataendelea kuwa rais...hata akiamka hawezi tena kuwa Rais kwa maana tayari rais mwingine keshaapishwa na Yuko madarakani atabaki kama kina kikwete na mwinyi....Yaani uyo magu akitokea akiamka sizani kama kuna mwanasiasa wa upinzani atafurai [emoji23][emoji23]huyo lisu atarudi ubelgiji kwa boda boda
Wanaenda kuhiji, wanaruhusiwa!
Mbona mnaogopa sana si mlisema Wazuri hawafi?[emoji23][emoji23][emoji91]
Pumba.. ..kwa hiyo unafikiri akiamka ataendelea kuwa rais...hata akiamka hawezi tena kuwa Rais kwa maana tayari rais mwingine keshaapishwa na Yuko madarakani atabaki kama kina kikwete na mwinyi....
Hawaendi kufanya Siasa, wanakwenda kutubu kwani walimsema vibaya ama kwa kujua au kutokujua.
Sasa wamegundua kuwa JPM alikuwa yupo vizuri sana, kwa hiyo ni lazima wakatubu.
Kwani Hili ni Jukwaa la nini?😂😂Umeona uoga kwenye comment yang?Mwenye akili timamu haezi shabikia huu upuuzi unless uwe mwanasiasa maana ndio mshazoea kupelekshwa
Wenzake werejea mchini mwambie naye arejee duniani. Unakaa kwa kunyanyasa watu ukidhani utaishi milele?Yaani uyo magu akitokea akiamka sizani kama kuna mwanasiasa wa upinzani atafurai [emoji23][emoji23]huyo lisu atarudi ubelgiji kwa boda boda
Amen!Familia ya Magufuli ni christian, na Christians forgive
Raisi sio Mali ya familia , kaburi la aliyekuwa Raisi linabaki kuwa Mali ya nchi na sio familia