zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,152
- 5,854
Wenzake werejea mchini mwambie naye arejee duniani. Unakaa kwa kunyanyasa watu ukidhani utaishi milele?
C mmekubaliana na lisu kua magu ni mwema kuliko mama au [emoji3166]ndio maana nkasema wanasiasa ni wanafki utawala wa magu huezi fananisha na huu mama
Hawa wapinzani wanatumia bandari kulaghai watanzania na watatumia kila njia kupata sapoti ya wananchi mfano ndio hii kujidai kumpa sifa magu...
Mtu waliyekua wanalia anawatesa leo ety kawa malaika [emoji23][emoji23]