Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Wao waendelee na vicheko vyao, leo hii wanajikosha kwa magufuli na kumtolea mifano eti huyo jamaa eti wananchi tumuone anaipenda tanzania eti naye anapambania rasilimali za tanzania ili ateke mioyo ya tuliomlilia magufuli huku wao wakishangiriaa. Sijui wanadhani tumesahau. Wakati magufuli anapambania madini yetu huyo jama alimuunga mkonoo? Zaidi aliishia kutoa vitisho eti magufuli atashitakiwa MIGA. hivi anataka kutuchefua huyu jamaa.Mkuu watz ni wanafki c umeonA hata hapa wanavosapoti huu ujinga
Yaani cjui ni kukosa elimu