Unakaribishwa chato kwenda kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏🙏Kwa hiyo team mwendazake mtamuunga mkono Lissu urais 2025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakaribishwa chato kwenda kukiri UZALENDO wa Magu 🙏🙏🙏Kwa hiyo team mwendazake mtamuunga mkono Lissu urais 2025
Naona unawabagaza jamaa zako wa UVCCM 😁Wanaenda kuhiji, wanaruhusiwa!
Mbona mnaogopa sana si mlisema Wazuri hawafi?😂😂🔥
Watu Wa Media Mpatieni Mic Aseme Ushuhuda HuoLisu hakawii kusema, nimeeemuona huyu jamaa akiwa kwenyeee moto mkali saaana wa jahanam.
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata kama bado unakumbuka inakusaidia nini?Nani atakubali hizo kejeli zao?? Leo hii shujaa magufuli amekuwa wa maana kwao? Zile sherehe walizofanya, wanadhani tumesahau
Hata mimi nitakua nimejifunza kitu kikubwa nacho ni kwamba sio kwamba wote unaodhani wako pamoja na wewe wakikupigia nyimbo na mapambio wanamaanisha hayo kutoka katika dhamira zao na mioyo yao.Hii habari kama ni kweli, nitakua nimejifunza kitu kitu muhimu sana ktk maisha
Inategemea na mahali uliposimama, kwa upande wangu nadhani anaenda kumwambia jiwe mimi nilikua nakwambia ukweli ukaniona mbaya haya amka uone wale washangaliajii wako wanachokifanya utajua msalitui ni nani?Sio kweli, Lissu anasikitika sana, tena sana kwa matusi aliyomtolea JPM wakati wa uhai wake. Amegundua alikuwa mtu muhimu sana katika taifa hili. Anaenda kuomba radhi.
Unaonea wivu kaburi eti?Lissu alimtusi sana Magufuli na jana akihutubia huko Bukoba aliendeleza maneno machafu dhidi ya Magufuli kwamba alikuwa ni mwizi, alipofariki zilikutwa pesa nyingi kazificha Chato, bado Magufuli alipofariki yeye Lissu na genge lake walifanya sherehe, iweje leo aende kwenye kaburi la Magufuli eti kumuombea? Asiruhusiwe kabisa kabisa
huku simu ameshika kwa mkono mmojaMkuu hiyo Konyagi unainywa kavukavu na jua lote hili?
Kwanza usiwaamini Ccm kwa loloe lileHata mimi nitakua nimejifunza kitu kikubwa nacho ni kwamba sio kwamba wote unaodhani wako pamoja na wewe wakikupigia nyimbo na mapambio wanamaanisha hayo kutoka katika dhamira zao na mioyo yao.
wanaCCM hao hao ambao walimuunga mkono JPM mpaka mwaka 2017 akatunga sheria ya maliasili kwa wivu mkubwa wa rasilimali za nchi ndio hao hao wamekaa kama kamati na kuamua hata kuandaa mabadiliko ya sheria hiyo ili kukidhi matakwa ya DP na sio hata matakwa ya watanzania wenye mali yao.
ni wana ccm hawa hawa kibajaji et al walimpigia makofi JPM pale magogoni alipokua anawaeleza kuna terms mbovu za umilele kwenye uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo na yeye hayuko tayari kuzipokea wkamuimba mzalendo na hata kufikia hatua ya kushiriki kuwadhuru wa jpm.
leo hii ndio hao hao wanatumia nguvu kubwa kuzunguka nchi nzima wakitumia kamati za siasa za wila za mikoa na wilaya kuhamasisha kile alichokikataa na kukisimamia.
ni haki Lissu aende kumuamsha ammwambie amka Mzee uone yale uliyokua ukiyapigania na wale waliokuimbia ,mapambio ndio wanayafanya sasa ujue ulikua umezungukwa na wanafiki wasiokuambia ukweli mimi nilikuambia ukweli asilani ukaniona adui mpaka ukaniita msaliti, sasa njoo uone wasaliti halisi.... nimejifunza
Muulize mtoa post wapi Lissu amesema atadhuru kaburi la JPM akikujibu nitagLisu kabisa? mhn! kama ni kweli basi yule aliyesema kuwa mwanasiasa hata mchana akikwambia kunamwanga toka na tochi yuko sahihi sana! nitakuwa wa mwisho kuwaamini hawajamaa
Mkuu ni kwamba sijawahi kuwaamini na sintowaamini.Kwanza usiwaamini Ccm kwa loloe lile
Pili ,watanzania ndio wajinga wajinga waliobakia duniani
Mengine : tumia akili yako kupokea hizi taarifa
Ok,nii kweli ,ni kikundi cha wapumbavu,ila tu enjoy lifeMkuu ni kwamba sijawahi kuwaamini na sintowaamini.
Na kuhusu watanzania kuwajinga nasema sio wajinga bali ni kikundi cha wapumbavu kilichobaki duniani ambacho kam awangekua wajinga wangekua wanajifunza kutokana na matukio ambayo CCM imewapiga, Imeafanya waone wanaishi kwa hisani iya ccm.
Nani atakubali hizo kejeli zao?? Leo hii shujaa magufuli amekuwa wa maana kwao? Zile sherehe walizofanya, wanadhani tumesahau
Lazima wakafanye,mnaogopa nini?
Tundu Lissu kesha jua kupigwa kwakwe risasi Magufuli hakuhusika, ndio maana anakwenda kuomba msamaha kwa yale aliyoyatamka dhidi ya hayati Magufuli
Huyo sio raisi ni Jambazi,wacha wakaiji kwa mtakatifu wetu from Chato...Na kwa mwendo huu naanza kuungana tena na chadema..2025 mama huo ushungi utapasuka kama lile pazia la hekalu.Pumba.. ..kwa hiyo unafikiri akiamka ataendelea kuwa rais...hata akiamka hawezi tena kuwa Rais kwa maana tayari rais mwingine keshaapishwa na Yuko madarakani atabaki kama kina kikwete na mwinyi....
akikujibu nitag niko online mkuu hawa jamaa wanajua kuongea ya kufikirika yaani unajiambia jambo halafu unaanza kulijadili mwenyewe kwa namna unayoona itakupendeza wewe. ujinga mtupuKasema yeye au wew maoni yako
kama ana sifa hizi nitakubaliana na wewe, lakini sifa hizi wanazo wana ccm ndio mana wamemgeuka jiwe mapema ndio Lissu anaenda kumsanua kwamba amkaaaaaa ulidhani wako na wewe njoo uone wanachofanyaHakuna mnafiki mkubwa kama Lissu hapa Tanzania!