Wenzake werejea mchini mwambie naye arejee duniani. Unakaa kwa kunyanyasa watu ukidhani utaishi milele?
Tena walisema ni mwamba na mchapakaziWanaenda kuhiji, wanaruhusiwa!
Mbona mnaogopa sana si mlisema Wazuri hawafi?😂😂🔥
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani uyo magu akitokea akiamka sizani kama kuna mwanasiasa wa upinzani atafurai [emoji23][emoji23]huyo lisu atarudi ubelgiji kwa boda boda
Magufuli alikuwa rais wa wote, chadema hawakumfahamu. Ndo maana alisema maendeleo hayana vyama. Akili zimewaingia saa hizi baada ya yanayoendelea. Pia ccm watanuna chadema wakienda chato kwa sababu wanaonekana(ccm) si waaminifu kwa sababu ya sakata la bandari. Chadema ni watanzania waruhusiwe kuona kaburi maana yule ni rais wao.
Na makamanda uchwara yanamuunga mkono🤣🤣🤣... Anaenda kuomba radhi.
Akileta nipigwe ban.Leta link, tuone alivyotoa ahadi.
Hawati aamke mzee wetu kipenzi.😂😂Wivu😂😂😂
Kwa hiyo team mwendazake mtamuunga mkono Lissu urais 2025Hawaendi kufanya Siasa, wanakwenda kutubu kwani walimsema vibaya ama kwa kujua au kutokujua.
Sasa wamegundua kuwa JPM alikuwa yupo vizuri sana, kwa hiyo ni lazima wakatubu.
Akiamka atapigwa viboko arudi alikotoka,Yaani uyo Magufuli akitokea akiamka sidhani kama kuna mwanasiasa wa upinzani atafurahi [emoji23][emoji23]huyo Lisu atarudi Ubelgiji kwa boda boda
Lisu hakawii kusema, nimeeemuona huyu jamaa akiwa kwenyeee moto mkali saaana wa jahanam.Haa Haa Kumetokea Nini Mwamposa