Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Wao waendelee na vicheko vyao, leo hii wanajikosha kwa magufuli na kumtolea mifano eti huyo jamaa eti wananchi tumuone anaipenda tanzania eti naye anapambania rasilimali za tanzania ili ateke mioyo ya tuliomlilia magufuli huku wao wakishangiriaa. Sijui wanadhani tumesahau. Wakati magufuli anapambania madini yetu huyo jama alimuunga mkonoo? Zaidi aliishia kutoa vitisho eti magufuli atashitakiwa MIGA. hivi anataka kutuchefua huyu jamaa.Mkuu watz ni wanafki c umeonA hata hapa wanavosapoti huu ujinga
Yaani cjui ni kukosa elimu
Apeleke kejeri zake hukoo. Endeleeni na sherehe zenu za kushangiria kifo, ipo siku na nyie zamu yenu itafika. Yaani anataka aende kaburini ili akaangue kicheko paleee. Ajue kaburini sote tutaenda, kifo kila mtu atakufaa. Anapanga kwenda kutuchekaa eti eee sawa bwanaaMkuu hata kama bado unakumbuka inakusaidia nini?
Alivozunguka mabara na mabara kumtukana. Ebu asichefue watanzaniaLazima wakafanye,mnaogopa nini?
Tundu Lissu kesha jua kupigwa kwakwe risasi Magufuli hakuhusika, ndio maana anakwenda kuomba msamaha kwa yale aliyoyatamka dhidi ya hayati Magufuli
Wao waendelee na vicheko vyao, leo hii wanajikosha kwa magufuli na kumtolea mifano eti huyo jamaa eti wananchi tumuone anaipenda tanzania eti naye anapambania rasilimali za tanzania ili ateke mioyo ya tuliomlilia magufuli huku wao wakishangiriaa. Sijui wanadhani tumesahau. Wakati magufuli anapambania madini yetu huyo jama alimuunga mkonoo? Zaidi aliishia kutoa vitisho eti magufuli atashitakiwa MIGA. hivi anataka kutuchefua huyu jamaa.
Ile ni kaburi la JPM aliyekuwa Rais wa JMT awamu 5, siyo Kaburi la CCM na machawa wao. Peleka huko ushenzi wako.
2025, tutatumia vicheko walivyovicheka pindi shuja wetu magufuli alivyotwa na Mungu. Wasidhani tumesahau, hili tuu litamgaragaza huyo mzee wa kikiNdio hapo mkuu hadi nkasema watz wengi wanafki
Mifano ni mingi mnoo ila wao bado hawajifunzi
Kinachofanyika saiv ni kutafuta kiki ya 2025 ila njia wanayotumia c nzuri kwa taifa
Sasa hayo uliyo andika kuna tusi lolote alilotukanwa Magufuli au hujui maana ya tusi wewe kenge.Lissu alimtusi sana Magufuli na jana akihutubia huko Bukoba aliendeleza maneno machafu dhidi ya Magufuli kwamba alikuwa ni mwizi, alipofariki zilikutwa pesa nyingi kazificha Chato, bado Magufuli alipofariki yeye Lissu na genge lake walifanya sherehe, iweje leo aende kwenye kaburi la Magufuli eti kumuombea? Asiruhusiwe kabisa kabisa
Acha inyeshe tuone panapovuja 😅🙏Habari ya Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli CCM wanaichukulia kuwa inaenda kuwafuta kanda ya Ziwa.
This move is well calculated.
Ili kutuliza mambo, hatufuki jumatatu mama atakua ameshatoa mkeka ili kutafuta suluhu.
Anachofanya ni siasa tu ili awachote watu.Lissu alimtusi sana Magufuli na jana akihutubia huko Bukoba aliendeleza maneno machafu dhidi ya Magufuli kwamba alikuwa ni mwizi, alipofariki zilikutwa pesa nyingi kazificha Chato, bado Magufuli alipofariki yeye Lissu na genge lake walifanya sherehe, iweje leo aende kwenye kaburi la Magufuli eti kumuombea? Asiruhusiwe kabisa kabisa
CHADEMA ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinachoamini katika Uhuru na Watu.Wivu wako kamwe hautaiangusha CHADEMA hata siku moja,alijaribu Magufuri akashindwa.Anachofanya ni siasa tu ili awachote watu.
Ila nilichokiona wafuasi wa Chadema nao nyumbu aisee! Lolote litakalosemwa na wapendwa wao wanalifuata.
Halafu ni kama mpango wao wamejazana kibao twitter na Jf. Wakishambulia wanashambulia kweli.
Bahati mbaya mitandaoni tofauti na uraiani. Nguvu kubwa wangewekeza uraiani wangefika mbali.
Ninyi ni wanafiki tu kama CCMCHADEMA ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinachoamini katika Uhuru na Watu.Wivu wako kamwe hautaiangusha CHADEMA hata siku moja,alijaribu Magufuri akashindwa.
Tunashukuru ila hatutaki Bandari zetu zimilikiwe na Waarabu wa Dubai.Ninyi ni wanafiki tu kama CCM
Tena ninyi ni wabaya mna udini kabisa!
Serikali ikishaamua mtaifanya nini?Tunashukuru ila hatutaki Bandari zetu zimilikiwe na Waarabu wa Dubai.
-----Maaskofu wa Kanisa Takatifu la Mitume wamekataaSerikali ikishaamua mtaifanya nini?
Watanzania waliyomtaani wameshakata tamaa wanaona serikali yao ilishawasaliti kitambo. Raia wanachojali ni kutafuta mkate wao wa kila siku kwao na familia zao. Haya mambo ya bandari hawana muda nayo!
Chadema inachotakiwa kufanya ni kujiwekeza zaidi katika masuala ambayo mtanzania huyu anayaona ndiyo yanayomgusa moja kwa moja katika utafutaji wake na maisha yake kwa ujumla!
Hizi kelele za mitandaoni ni sawa sawa na mbwa tu anayebweka! Na ndiyo maana wanaotafakari wanasema Chadema hawana ajenda! Ajenda yao ni matukio tu wanafuata upepo!
Mkishauriwa mnakuwa wakali na kuona wote wenye mawazo mbadala ni CCM. Sasa wenye kutafakari wameshajua mchezo wanaocheza Chadema. Ndiyo maana Magufuli aliwapiga pini haswa!
Iwe hivyo au hata isiwe hivyo lakini uraiani haya mambo hakuna! Watu wanatafuta pesa ili waweze kukidhi mahitaji yao ya kila siku.-----Maaskofu wa Kanisa Takatifu la Mitume wamekataa
-----Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri wamekataa
-----Maaskofu wa makanisa mengine wamekataa
-----Masheikh nao wamekataa Tanganyika kuuzwa
-----Wasomi mbalimbali Tanzania wamekataa
-----Wanasheria nguli wamepinga na kukemea vikali
-----Dk Slaa amekataa tena kwa maonyo yenye maana
-----Jembe Mwabukusi pamoja na jopo la mawakili wamekataaa
-----Gwiji la sheria Dkt Nshala ametoa angalizo na kupinga vikali
-----Watanganyika wote kwa ujumla wamekataa kwa sauti moja
Uraiani watu wapo na Simba na Yanga na usajili wao 😅😅Anachofanya ni siasa tu ili awachote watu.
Ila nilichokiona wafuasi wa Chadema nao nyumbu aisee! Lolote litakalosemwa na wapendwa wao wanalifuata.
Halafu ni kama mpango wao wamejazana kibao twitter na Jf. Wakishambulia wanashambulia kweli.
Bahati mbaya mitandaoni tofauti na uraiani. Nguvu kubwa wangewekeza uraiani wangefika mbali.
Ushauri mzuri !!Serikali ikishaamua mtaifanya nini?
Watanzania waliyomtaani wameshakata tamaa wanaona serikali yao ilishawasaliti kitambo. Raia wanachojali ni kutafuta mkate wao wa kila siku kwao na familia zao. Haya mambo ya bandari hawana muda nayo!
Chadema inachotakiwa kufanya ni kujiwekeza zaidi katika masuala ambayo mtanzania huyu anayaona ndiyo yanayomgusa moja kwa moja katika utafutaji wake na maisha yake kwa ujumla!
Hizi kelele za mitandaoni ni sawa sawa na mbwa tu anayebweka! Na ndiyo maana wanaotafakari wanasema Chadema hawana ajenda! Ajenda yao ni matukio tu wanafuata upepo!
Mkishauriwa mnakuwa wakali na kuona wote wenye mawazo mbadala ni CCM. Sasa wenye kutafakari wameshajua mchezo wanaocheza Chadema. Ndiyo maana Magufuli aliwapiga pini haswa!
Wewe ndo wasema, wengine tunajua alikuwa Rais wa nchi ya TanzaniaC alikua rais wa sukuma gang saiv kawa wa jmt [emoji23][emoji23][emoji23]yaani mfa maji haishi kutapa tapa