Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,546
Kwa lugha rahisi isiyo ya kisanaa...tabia zake ni sawa na zako au ndugu yako umpendaye.Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?
Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
Labda amekopi na kupestiAliye HACK akaunti ya Mshana jr ya JF akamatwe , maana Mshana hawezi kuandika stori KIBOYA hivi
Kwanini atembe Usiku pekee yake?Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?
Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.
Hizi ni hukumu zenye double standards.
Una sonona wewe,Kwa lugha rahisi isiyo ya kisanaa...tabia zake ni sawa na zako au ndugu yako umpendaye.
Una nafasi ya kubadilika
Mkuu usituharibie mapema hivi bado hata hatujaneemeka na hizo bei mpyaNadhani kushuka kwa kodi ya vileo kumechangia hali hii.
Inavyosemekana mlinzi ndiye aliyewaua kwa kuwakata na Panga na nyundoKwa ambao hamjaelewa
Huyo mama mumewe Joel ameshafariki, hivyo mama akatafuta kibenten/boyfriend ..kibenten akaingia tamaa baada ya kuona mama anapeleka pesa benki mara nyingi. Hivyo akasuka mchongo na mlinzi wakaleta majambazi
Wakaua watoto wawili kasoro mlinzi..
Mlinzi japokuwa alipoozwa na pesa lakini kafichua siri.. Na hivyo wote wamekamatwa tayari
Poleni aisee!Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
KabisaMkuu usituharibie mapema hivi bado hata hatujaneemeka na hizo bei mpya
Yes!Ni tatizo la wanawake Aged kupenda vijana kitu hawaelewi vijana wanatumia makalio kufikiri huyo mrembo angekuwa anatoka na mtu mzima mwenzie mwenye familia yasinge mkuta
My apology [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Duh, mkuu Mshana Jr, leo umekuwaje? Yaani hii habari mtu kufanya test watu waitambue bila kuweka ID yako watu watasema kuandika Pdidy!
Oww nikajua mimi tu ndio sipigi tena Kili bila kuweka spirit
Inasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Ladha yake inazidi utamu wa ma2cOww nikajua mimi tu ndio sipigi tena Kili bila kuweka spirit
Ogopa sana kiben10 kimbaumbau kimekula vumbi la kongo halafu kikasimamia ukucha.. Kinasugua kihuni mpaka inatoa mvukeWanawake unampelekaje boyfriend kwenye nyumba ya marehemu mumeo mpaka ajue ya hela ulizonazo.
Pia mjane tajiri wanaume wahuni vibenten wa nini.. why usitafute mjane mwenzako mwenye mahela. Ama unakuwa hata mchepuko wa mwanaume anaejielewa pia.. hela anazo ila hajui hata value yake..
Wanawake wajanja wana vikazi vya laki sita tu ila mwanaume mjinga mjinga hawakupi chance hata ya kumsalimia..
Where, why, whoMkuu elezea ueleweke...
Yaani kutoka incident ya kuwauwa na kudhulumiana na mlinzi kutoa siri yote hayo yametokea kwa muda wa siku moja ? Au hawa waliuwa lini ?
What, When, How...
Mambo ya weekend hayo