Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Sema mnatakataga sasa kumtawala boss babe😀! Mnajikuta na nyie mna wivu kumbe tu akili yako iko kwa wallet...lol
 
Pascal mayalla na mshana J tafadhali wasilianeni mtupe habari inayoeleka. Huku jf kila mtu anaongea lake
 
Duh, dunia hii... 🙆🏾‍♂️
 
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
Moyo ni kichaka huwezi ukajua mtu anawaza nini wakati wewe ukiona amekuja kwa ajili ya mapenzi kumbe mwenzio kaja kwa tamaa ya mali tena vijana wa siku hizi wanataka vya bure hawataki kutafta mali zao kiukweli,lakini pia kuna sehemu mahali mama aliteleza mfano kuwa exposed kwa huyo boyfriend mpaka anajua ratiba zako zote ,pole sana kwa familia kwa kweli huu ni ukatili usiopimika
 
Sasa alishindwaje mlia mkongo show moja tuu mwanamke anakuachia mali ya nini kuua
 
Mkuu, ni kweli suala kubwa ni ukatili wa kuuawa mama na wanawe wawili. Mahusiano yake na huyo jamaa hatuwezi kujua yalikuwaje. Kuna baadhi humu tumeanza kumlaumu huyo mama. Hakuna mtu anayestahili ukatili wa namna hiyo.
 
 
Na nyie kina mama huwa mnajitakiaga mambo mengine! Badala utulie ulee watoto unaanza fukunyuku kudate mwisho unadate majambazi mfyuuuuu 😡! Pole sana watoto, mmeponzwa na mama yenu mfyuuuuu 😡!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…