Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Hata sijui dada labda wewe iwe Kama ulivyoelewa mwenyewe.mana others see big picture other see details , someone thinks laterally while me I think linear and so on na bado maisha yanaenda kwa jinsi ya tofauti yetu zetu zilizopo
Bas sawa.
 
Halafu wameishi naye miaka 10 [emoji848][emoji848]

Ni hatari kuishi na mtu asiye ndugu kwa muda mrefu.
Haishauriwi kwa anayejielewa hata kama mfanyakazi anafanya kazi Nzuri sana ukipima risks zinazoweza kukutokea sababu yake ni bora kukatisha mkataba naye.

Miaka zaidi ya 3 na kuendelea mfanyakazi anaaanza kukujua ndani na nje na nguvu na udhaifu wako ulipo [emoji108][emoji108]

Ikifika hapo usalama unakuwa mashakani.

Napingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs,hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.

Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.
 
Actually hata mpangaji wa nyumba walau miaka miwili tu kuzidi hapo hata kama ni msafi anatunza nyumba yako vizuri, analipakodi kwa wakati bora kuepuka kuhuisha mkataba mwingine.

Basi utakuwa na principal yako ya maisha ambayo ni tofauti kabisa na wengi wetu.Yani umuondoe tu Tenant wakati anatimiza wajibu wake? Mimi ukitimiza wajibu wako,kaa hata miaka kumi ni sawa tu. Ukiwa msumbufu hata mwezi mmoja nakuondoa.
 
Siyo kila jambo linalofanywa na wengi linakuwa sahihi.

Huwa inategemea na facts mbalimbali.

Ndiyo maana hata njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi.

Wingi si hoja.

Kuna majority ignorance huwa inaweza kujitokeza.

Sema wengi wamezoea kujifunza kutokana na makosa lakini nilichoandika Ndiyo usahihi kwa mujibu wa taarifa za tafiti za kimataifa na uziefu pia.
 
Napingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs,hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.

Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.

Kwa hiyo hao watu wawili ndiyo wafanye kuondoa ukweli kwa kile nilichoandika ?

Jambo lolote kimaamuzi wastani ndiyo unaweza kutumika siyo lazima iwe 100% kutokea.

Lakini kwa mmoja likimtokea ni mtihani mkubwa sana.

Nilichoandika ni kwa mujibu wa taarifa za majarida na uzoefu wa kimataifa sijaandika from no where.

Matharani:

Kuna mtu au watu wakiambiwa usile chakula chenye chumvi na mafuta mengi anadharau na kusema tangu Mdogo hadi ukubwa huu amekuwa akila vyakula vya hivyo na maisha yanamuendea wakati huo hata status ya afya yake haijui na wala hana mazoea ya kupima.

Baada ya muda mfupi likitokea la kutokea anaanza kumhisi jirani mchawi kamroga.

Lazima tuongeze wigo wetu wa kujifunza na kufahamu mambo.
 
Napingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs, hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.

Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.
Umetia chumvi mamito
 
Siyo kila jambo linalofanywa na wengi linakuwa sahihi.

Huwa inategemea na facts mbalimbali.

Ndiyo maana hata njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi.

Wingi si hoja.

Kuna majority ignorance huwa inaweza kujitokeza.

Sema wengi wamezoea kujifunza kutokana na makosa lakini nilichoandika Ndiyo usahihi kwa mujibu wa taarifa za tafiti za kimataifa na uziefu pia.

Hapo ndipo unapofail ndugu yangu kuona ulichoandika wewe ni sahihi zaidi. Kila mtu ana principal zake za maisha,usilazimishe kile ambacho kwako ni sahihi kiwe sahihi kwa wengine.

Hata tafiti na zenyewe huwa zinakuja kupingwa na tafiti zingine.Yani nikae na mtu anatimiza wajibu wake from no where nimwondoe kisa tu kazoea? Mbona wewe huondolewi kazini kwako kwa sababu umefanya kazi pale muda mrefu? Si ajabu utakaa hapo hapo hadi kustaafu kama si kuondolewa kwa nguvu,hiyo mantiki yako ya kumuondoa mfanyakazi wa ndani kisa kakaa muda mrefu haina mashiko kwa hizo sababu ulizozitoa.
 
Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua

Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]

NB

Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila sio kuweka ukaribu sana na majirani...na inategemea na aina ya majirani!
 
Matharani:

Kuna mtu au watu wakiambiwa usile chakula chenye chumvi na mafuta mengi anadharau na kusema tangu Mdogo hadi ukubwa huu amekuwa akila vyakula vya hivyo na maisha yanamuendea wakati huo hata status ya afya yake haijui na wala hana mazoea ya kupima.

Baada ya muda mfupi likitokea la kutokea anaanza kumhisi jirani mchawi kamroga.

Lazima tuongeze wigo wetu wa kujifunza na kufahamu mambo.

Huu mfano wako hauendani kabisa na hoja yako unayo jaribu kuitetea hapa,nikukumbushe tu pengine,hoja yako ni kuwa “badilisha Dada/Kaka wa kazi nyumbani hata kama anafanya kazi vizuri na hana tatizo kisa amekaa muda mrefu na kazoea “

Narudi kwenye uhalisia sasa,unajua madhara ya mathalani kukaa unabadilisha Dada wa kazi ndani katika malezi ya watoto wako wadogo? Yani kila baada ya mwaka mmoja unaondoa Dada waliyemzoea tena anatimiza wajibu wake vizuri na pengine watoto wanampenda sana kisa tu kazoea unaleta tena Dada wa kazi mwingine. Yani watoto kila baada ya muda wanakuwa ni wa kuji adjust kulingana na Dada wa kazi aliyepo? Kwa Mzazi yoyote mwenye kujali malezi ya watoto wake wadogo hawezi ondoa Msaidizi wa ndani bila sababu maalumu.
 
Sijui hata nikujibu nini hapa! Anyway naheshimu comment yako.Thanks
Binti akiwa na miaka 15 ukakaa naye kwa miaka 25; ina maana atakuwa na miaka 40 bado ni housegirl. Je, ataolewa saa ngapi? Kumbuka umri wa binti kuanza kutafuta wachumba na kuanzisha mji wake ni kati ya miaka 25-30.
 
Kwani haiwezekani mtu akaolewa na bado akaendelea kufanya kazi? Au msaidizi wa ndani ni mpaka tu yule anaekuwepo full time? Aliyetulea aliolewa akiwa pale pale nyumbani,akafanyiwa Harusi yeye na mume wake wanaishi sehemu ambayo si mbali sana na Nyumbani,na mpaka leo ni msaada mkubwa sana kwa Wazee wetu kwa sasa maana sote tumetawanyika.

Anyway huwa sina sababu ya kubishana sana ku prove point hapa JF tangu nimekuwa member,ni hiari yako kutokuamini,it’s not a Crime after all [emoji1666].
 
Binti akiwa na miaka 15 ukakaa naye kwa miaka 25; ina maana atakuwa na miaka 40 bado ni housegirl. Je, ataolewa saa ngapi? Kumbuka umri wa binti kuanza kutafuta wachumba na kuanzisha mji wake ni kati ya miaka 25-30.

Dada wa kazi niliyenae kwa sasa she is over 30 na ndiyo maana watoto wanamwita Mama mdogo,ameanza kazi tangu 2007! Au Msaidizi wa kazi za ndani ni mpaka awe na miaka 15-20?
 
Dada wa kazi niliyenae kwa sasa she is over 30 na ndiyo maana watoto wanamwita Mama mdogo,ameanza kazi tangu 2007! Au Msaidizi wa kazi za ndani ni mpaka awe na miaka 15-20?
Hapo nimeelewa maana ni rare event tunaita. akishazidi umri wa miaka 30 tunaita house maid si housegirl tena maana housegirls lazima wakae mji husika ila hawa wa kwenda na kurudi ni aina nyingine.
 
Hapo nimeelewa maana ni rare event tunaita. akishazidi umri wa miaka 30 tunaita house maid si housegirl tena maana housegirls lazima wakae mji husika ila hawa wa kwenda na kurudi ni aina nyingine.

Nadhani pia lugha ilileta shida,ni kweli wa kwangu kwa sasa ni House Maid.Ahsante Mkuu pia kuliweka sawa [emoji1666][emoji1666]
 
Nadhani pia lugha ilileta shida,ni kweli wa kwangu kwa sasa ni House Maid.Ahsante Mkuu pia kuliweka sawa [emoji1666][emoji1666]
Ubarikiwe sana, ila nimekupenda bure kwa majibu yako na reaction yako maana wangekuwa kama akina Evelyn Salt chamoto ningalikipata
 
Back
Top Bottom