Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Actually hata mpangaji wa nyumba walau miaka miwili tu kuzidi hapo hata kama ni msafi anatunza nyumba yako vizuri, analipakodi kwa wakati bora kuepuka kuhuisha mkataba mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe mbona umekosea wakati unakosoa wenzio? Ni lini neno likaanza na herufi kubwa wakati ni neno tu na siyo jina?Mkuu sasa unakosoa spelling za wenzio at the same time unafanya kosa hilo Hilo “ Sio jaziba ni Jazba”
Bas sawa.Hata sijui dada labda wewe iwe Kama ulivyoelewa mwenyewe.mana others see big picture other see details , someone thinks laterally while me I think linear and so on na bado maisha yanaenda kwa jinsi ya tofauti yetu zetu zilizopo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahJamaa tu lilikuwa katili lilikuja kuajiri walinzi wa kampuni wala haliwaongeleshi.
Mbona kama una madini fulani so uanzishe thread.
Yaani mwanamke anavyozidi kujua ndivyo anavyozidi kuenjoi tofauti alivyokuwa mdogo.
Halafu wameishi naye miaka 10 [emoji848][emoji848]
Ni hatari kuishi na mtu asiye ndugu kwa muda mrefu.
Haishauriwi kwa anayejielewa hata kama mfanyakazi anafanya kazi Nzuri sana ukipima risks zinazoweza kukutokea sababu yake ni bora kukatisha mkataba naye.
Miaka zaidi ya 3 na kuendelea mfanyakazi anaaanza kukujua ndani na nje na nguvu na udhaifu wako ulipo [emoji108][emoji108]
Ikifika hapo usalama unakuwa mashakani.
Actually hata mpangaji wa nyumba walau miaka miwili tu kuzidi hapo hata kama ni msafi anatunza nyumba yako vizuri, analipakodi kwa wakati bora kuepuka kuhuisha mkataba mwingine.
Basi utakuwa na principal yako ya maisha ambayo ni tofauti kabisa na wengi wetu.Yani umuondoe tu Tenant wakati anatimiza wajibu wake? Mimi ukitimiza wajibu wako,kaa hata miaka kumi ni sawa tu. Ukiwa msumbufu hata mwezi mmoja nakuondoa.
Napingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs,hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.
Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.
Umetia chumvi mamitoNapingana na wewe kwa hili,tumelelewa na Dada wa kazi na tumeishi nae kwa 25yrs, hakuna kitu kama hicho.Hapa nilipo nina Dada wa kazi nimeishi nae kuanzia 2007,watoto wamezaliwa akiwepo mpaka wanamwita Mama Mdogo.
Inategemea tu umepata mtu wa aina gani,anaweza fanya tukio muda wowote hata kama ameishi na wewe miezi miwili tu.
Siyo kila jambo linalofanywa na wengi linakuwa sahihi.
Huwa inategemea na facts mbalimbali.
Ndiyo maana hata njia iendayo upotevuni ni pana nao waingiao ni wengi.
Wingi si hoja.
Kuna majority ignorance huwa inaweza kujitokeza.
Sema wengi wamezoea kujifunza kutokana na makosa lakini nilichoandika Ndiyo usahihi kwa mujibu wa taarifa za tafiti za kimataifa na uziefu pia.
Ila sio kuweka ukaribu sana na majirani...na inategemea na aina ya majirani!Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua
Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]
NB
Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Matharani:
Kuna mtu au watu wakiambiwa usile chakula chenye chumvi na mafuta mengi anadharau na kusema tangu Mdogo hadi ukubwa huu amekuwa akila vyakula vya hivyo na maisha yanamuendea wakati huo hata status ya afya yake haijui na wala hana mazoea ya kupima.
Baada ya muda mfupi likitokea la kutokea anaanza kumhisi jirani mchawi kamroga.
Lazima tuongeze wigo wetu wa kujifunza na kufahamu mambo.
Umetia chumvi mamito
Binti akiwa na miaka 15 ukakaa naye kwa miaka 25; ina maana atakuwa na miaka 40 bado ni housegirl. Je, ataolewa saa ngapi? Kumbuka umri wa binti kuanza kutafuta wachumba na kuanzisha mji wake ni kati ya miaka 25-30.Sijui hata nikujibu nini hapa! Anyway naheshimu comment yako.Thanks
Binti akiwa na miaka 15 ukakaa naye kwa miaka 25; ina maana atakuwa na miaka 40 bado ni housegirl. Je, ataolewa saa ngapi? Kumbuka umri wa binti kuanza kutafuta wachumba na kuanzisha mji wake ni kati ya miaka 25-30.
Binti akiwa na miaka 15 ukakaa naye kwa miaka 25; ina maana atakuwa na miaka 40 bado ni housegirl. Je, ataolewa saa ngapi? Kumbuka umri wa binti kuanza kutafuta wachumba na kuanzisha mji wake ni kati ya miaka 25-30.
Hapo nimeelewa maana ni rare event tunaita. akishazidi umri wa miaka 30 tunaita house maid si housegirl tena maana housegirls lazima wakae mji husika ila hawa wa kwenda na kurudi ni aina nyingine.Dada wa kazi niliyenae kwa sasa she is over 30 na ndiyo maana watoto wanamwita Mama mdogo,ameanza kazi tangu 2007! Au Msaidizi wa kazi za ndani ni mpaka awe na miaka 15-20?
Hapo nimeelewa maana ni rare event tunaita. akishazidi umri wa miaka 30 tunaita house maid si housegirl tena maana housegirls lazima wakae mji husika ila hawa wa kwenda na kurudi ni aina nyingine.
Ubarikiwe sana, ila nimekupenda bure kwa majibu yako na reaction yako maana wangekuwa kama akina Evelyn Salt chamoto ningalikipataNadhani pia lugha ilileta shida,ni kweli wa kwangu kwa sasa ni House Maid.Ahsante Mkuu pia kuliweka sawa [emoji1666][emoji1666]