pangalashaba
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 1,301
- 1,579
Huyu Mr. Steve inawezekana ana maslahi katika hizi mambo. Haiwezekani watu wakawa wanamtuhumu bure. Lisemwalo lipo.Tulia Hapo Hapo
nimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mr. Steve inawezekana ana maslahi katika hizi mambo. Haiwezekani watu wakawa wanamtuhumu bure. Lisemwalo lipo.Tulia Hapo Hapo
nimecheka sana
Ana kipaji, nahisi ndo maigizo aliyobaki nayo kwa sasaSteve nyerere again
Kama dalali anazengea nyumba ukijiandaa kuhamaHuyu Steve Nyerere ni jizi kiasilia..
Juzi nilivyomuona wodini kwa Mzee Majuto nikajua tayari wodi imeshaingiliwa.
Kuwa wazi tuu, baada ya Masogange msiba wake kuvamiwa na uvccm na kuzikwa kwa heshima za chama wakati hata uhakika kuwa anamiliki kadi ya ccm hakuna watu wote waliishia kusema hiiiiiiiii! Wakijua wataalamu wa rambirambi wamevamia mchezoNilipoona tu watu flani wameuhodhi ule msiba, nikajua tu siku si nyingi tutapata habari ya namna hii
Ila jaman twenden mbele turudi nyuma,,,,bongo movie wana pesa gani zikasimamie msiba badae zikabaki wanafamilia wapewe mi Nadhan ndugu hawakuelewa michango ilitoka kwaajir ya msiba sio mtoto....
mtoto anababa yake yule waache kujilizaliza
Sijawahi kuelewa anaigiza nini?Ana kipaji, nahisi ndo maigizo aliyobaki nayo kwa sasa
NimekuonaUsinitie wazimu wewe.
Nifute inbobo chap please
Nimekuona
Tulia Hapo Hapo
nimecheka sana
Fursa fursana... Ukishasikia neno WASANII weka mbali na watotoNdugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....View attachment 770073
Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Steve Nyerere nahisi ana undugu wa kuazima na Andrew Chenge
HaswaaaKawaida hii tabia ya kuchukua rambirambi alianzisha Mkulu