Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSimu uliweka mfuko wa nyuma?
Kiasi cha kijambo kusikika kwa kishindo namna hiyo?
Una kijambo cha kishindo bila shaka. Ulikula kiporo?
Binadamu kusaidiana , kama boyfriend Yuko njema acha atoe assist 😅😅Dingi anaomba hela kwa boyfriend wa mwanae......
Kweli mambo magumu.
Unamfundisha mwenzako tabia mbaya 😅Mkwe hakopeshwi, utamdai vipi sasa....akikudhulumu utagombana nae na mtoto wake mtagombana.
Kama hii sio chai we mpe tu usimkopeshe.
Mmh kwa boyfriend hii sio aseee bora angekua mme....Binadamu kusaidiana , kama boyfriend Yuko njema acha atoe assist 😅😅
Achana nao wote matapeli,baba mkwe mwenye heshima hakuombi wewe pesa atamtumia mwanae hiyo familia itafakari kabla haujaoa hapo.Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu ilijipokea ikiwa mfukoni ila Mimi sikuwa na taarifa. Mida ya tano wakati natoka kanisani, nilivyoshika simu yangu nakutana na missed calls toka kwa mpenzi wangu (bado hatujafunga ndoa) na msg kadhaa toka kwake. Msg moja ilisema "Ndio tabia gani hiyo uliyomfanyia baba? Ungesema hutaki kuliko kumfanyia hivyo"
Kwavile sikumuelewa, ikabidi nimpigie simu. Maelezo aliyonipa ni kwamba Baba yake alinipigia simu kunikumbushia ahadi yetu, Mimi nilivyopokea nikamjambia kisha nikakata simu. Nikakataa kwamba sijaongea na baba yake leo. Mpenzi nae akaona kama namdharau, akanikatia simu. Nilipoangalia kwenye call logs ni kweli nikakuta kuna simu iliingia toka kwa baba Mkwe na tuliongea kwa sekunde kumi. Inaonekana simu ilijipokea bila Mimi kujua, na inawezekana muda niliojamba ndio muda ambao ilijipokea ila sikumjambia makusudi.
Baba Mkwe hataki kabisa kupokea simu zangu, binti yake umeamua kununa. Wote hawanielewi.
Kuna namna upo, ndio maana wanaamini umefanya makusudi kulingana na jinsi wanavyokufahamu.Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu ilijipokea ikiwa mfukoni ila Mimi sikuwa na taarifa. Mida ya tano wakati natoka kanisani, nilivyoshika simu yangu nakutana na missed calls toka kwa mpenzi wangu (bado hatujafunga ndoa) na msg kadhaa toka kwake. Msg moja ilisema "Ndio tabia gani hiyo uliyomfanyia baba? Ungesema hutaki kuliko kumfanyia hivyo"
Kwavile sikumuelewa, ikabidi nimpigie simu. Maelezo aliyonipa ni kwamba Baba yake alinipigia simu kunikumbushia ahadi yetu, Mimi nilivyopokea nikamjambia kisha nikakata simu. Nikakataa kwamba sijaongea na baba yake leo. Mpenzi nae akaona kama namdharau, akanikatia simu. Nilipoangalia kwenye call logs ni kweli nikakuta kuna simu iliingia toka kwa baba Mkwe na tuliongea kwa sekunde kumi. Inaonekana simu ilijipokea bila Mimi kujua, na inawezekana muda niliojamba ndio muda ambao ilijipokea ila sikumjambia makusudi.
Baba Mkwe hataki kabisa kupokea simu zangu, binti yake umeamua kununa. Wote hawanielewi.
Haki nimecheka kwa sauti. Hivi upo serious au unatania mkuu?😂Iko hivi, wiki iliyopita baba Mkwe aliniomba nimkopeshe kiasi fulani cha pesa. Hela aliyoitaja ni ndefu kidogo, hivyo nikamwambia kwa muda ule sina ila ngoja tuone jumapili hii naweza kumsaidia kiasi gani.
Sasa leo wakati naenda kanisani alinipigia simu ila sikuisikia. Na kwa bahati mbaya simu ilijipokea ikiwa mfukoni ila Mimi sikuwa na taarifa. Mida ya tano wakati natoka kanisani, nilivyoshika simu yangu nakutana na missed calls toka kwa mpenzi wangu (bado hatujafunga ndoa) na msg kadhaa toka kwake. Msg moja ilisema "Ndio tabia gani hiyo uliyomfanyia baba? Ungesema hutaki kuliko kumfanyia hivyo"
Kwavile sikumuelewa, ikabidi nimpigie simu. Maelezo aliyonipa ni kwamba Baba yake alinipigia simu kunikumbushia ahadi yetu, Mimi nilivyopokea nikamjambia kisha nikakata simu. Nikakataa kwamba sijaongea na baba yake leo. Mpenzi nae akaona kama namdharau, akanikatia simu. Nilipoangalia kwenye call logs ni kweli nikakuta kuna simu iliingia toka kwa baba Mkwe na tuliongea kwa sekunde kumi. Inaonekana simu ilijipokea bila Mimi kujua, na inawezekana muda niliojamba ndio muda ambao ilijipokea ila sikumjambia makusudi.
Baba Mkwe hataki kabisa kupokea simu zangu, binti yake umeamua kununa. Wote hawanielewi.
KabisaMkwe hakopeshwi, utamdai vipi sasa....akikudhulumu utagombana nae na mtoto wake mtagombana.
Kama hii sio chai we mpe tu usimkopeshe.
Naunga ✋ Techno hapanaPole aisee,tecno siyo simu kabisaa
Na wewe maswali yako unaonekana haujakomaa, unauliza 'kivipi' wakati mwenzako mwenye busara zake pamoja na maoni kakupa angalizo?Kivipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kujamba Tuuu, Kutuma hela aaahh!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...Japo bado natafakari ulijambaje kwa sauti kubwa hivyo mpaka ukazua taharuki.
Nakupa Pole, nakusihi uende ukachutame uwaombe radhi yatakwisha.
Ledada,😂😂😂😂😂😂dah