Familia ya mpenzi wangu hawataki kunielewa

Kha! Umejamba na wakati huo huo simu ipo hewani😲😲😲😲 wat are the odds!
 
Mungu atusaidie sisi wanadamu tunapitia nyakati mgumu kwasababu ya changamoto za familia nyingine
 
Hujaoa vizinga tayari?

Jiongeze, hapo si pa kuoa.
 
Hiyo familia ikimbie mapema usije juta baadaye
 
Kwaio ulimjambia baba mkwe
 
Hiyo simu haijaharibika kweli ulivyojamba maana mpaka kijambo kinasikika upande wa pili ujue si masihara
 
Yeye alijuaje kuwa ni sauti ya kujamba?
Nyie hamuheshimiani kabisa.
Yeye kufikiria hivyo na kukusemea inaonyesha ni familia isiyo na ustaarabu.

HATA HIVYO IMEKAA KAMA KICHEKESHO ZAIDI YA UHALISIA.
 
Kama Ana tatizo ambalo linabidi kuwa solved mpambane ili mambo yakae sawa.

Mungu atakulipa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwavile hawapokei simu wakaushie tu. Siku wakiamua kukupigia, Jamba tena.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bora wamekuonyesha visilani mapema,achananae huyo.
 
Familia ya Kiswahili hiyo,kuwa makini baba mkwe kutamka maneno kiswahiki hivyo kwa mwanawe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…