Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
π€£π€£π€£π€£Mimi nilivyopokea nikamjambia kisha nikakata simu
π€£π€£π€£π€£π€£ hadi kwenye sim ilisikika kweli ulikitoa.Kwavile sikumuelewa, ikabidi nimpigie simu. Maelezo aliyonipa ni kwamba Baba yake alinipigia simu kunikumbushia ahadi yetu, Mimi nilivyopokea nikamjambia kisha nikakata simu. Nikakataa kwamba sijaongea na baba yake leo. Mpenzi nae akaona kama namdharau, akanikatia simu. Nilipoangalia kwenye call logs ni kweli nikakuta kuna simu iliingia toka kwa baba Mkwe na tuliongea kwa sekunde kumi. Inaonekana simu ilijipokea bila Mimi kujua, na inawezekana muda niliojamba ndio muda ambao ilijipokea ila sikumjambia makusudi.
Hii ni chai, hakuna cha dingi wala boyfriend wa mwanae......Dingi anaomba hela kwa boyfriend wa mwanae......
Kweli mambo magumu.
Na alivojambiwa akamwambia mwanaeπ.Dingi anaomba hela kwa boyfriend wa mwanae......
Kweli mambo magumu.
"Mwanangu nilimpigia boyfriend wako simu anipe ile hela akanijambia kisha akakata simu"Na alivojambiwa akamwambia mwanaeπ.
Kabisa."Mwanangu nilimpigia boyfriend wako simu anipe ile hela akanijambia kisha akakata simu"
Mkwe, dem na boyfriend wana matatizo
Na hawana (wasi)Β²Kabisa.
Afu Demu anajua baba yupo kwenye mpango wa kukopa msela.
Tangu uanze kuishi na mtoto wake imefika miaka mingapi?Niliamua tu kumsaidia maana namkopesha
Akijilazimisha lazima yamkute π πHuko kwenye kujamba tena awe makini asijinyee tu