Familia ya mpenzi wangu hawataki kunielewa

Nmecheka sana mada na maoni yake bamkwe anaanzaje kukopa mpenzi wa mwanaye, watu wengine aibu zlishatowekaπŸ”₯
 
Baba mkwe anataka ulipie utamu wa mtoto wake wewe unamjambia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila sijui watu wengine hufikiria nini kabla hawajaanzisha Uzi.

Unaweza kujikuta ndani ya daladala unacheka kama mtoto mdogo πŸ˜…πŸ™Œ
 
Sasa wewe mpaka simu inarekodi mlio wa ushuzi wako namna hiyo, hao waumini waliokuwa wamekaa karibu na wewe hawakusikia huo mlio kweli? Mbona watu mnapenda kumdhihaki mwenyezi Mungu hivi jamani?
 
Hiv bado hujastuka tu Mungu anakutoa kwenye shimo la moto? Njia za Mungu hazichunguziki aisee mpige chini huyo mtoto hafai kuwa mke. Mke siku zote anatakiwa awe upande wako hata kama kuna makosa. Na ni hatar kwa wakwe kuomba pesa kabla hata hujaoa. Huko uendako ujiandae kuongozwa kutoka ukweni
 
Inasikitisha na kufikirishana sana
Tunawaachia mambo yenu
 
Ni huyu au
 
Hapo bado hujaoa baba mkwe ameshakuomba pesa na minuno juu... Mbio zako zikuokoe kwenye hiyo familia..
 
Ukimuoa utakuwa na stress sana
 
Acha ufala ww baba MKWE hakopeshwi! Yaani unat**** mba mwanae halafu akurudishie Hela? Wazee wa zamani ndio maana walisema pesa ya mahali hupaswi kulipa yote, Kwa sababu utakuwa unapigwa mizinga kama hii! Ila kama wameamua kukununia na ww wakaushie wao SI ndio wenye shida! Yaani unamnunia tajiri wakati una njaa utakuwa na akili kweli?
 
Kijambo cha kishindo cha wakoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…