Uislam siyo imani pekee, ni mfumo kamili wa maisha.Acha wafu wazikane. Leo anamkana mzanzibar mwenzie na kumuita mwenye Imani haba kisa mapenzi na unazi kwa mzanzibar mwengine.
Hahahaa.....kumbe unaelewa elewa baadhi ya mambo. Nakuonaga kama mweupe fulani hivi. Samahani lakini.Hamas ni Wana wa Esau na Baraka yao ilikuwa ni kukaa mbali na ardhi yenye rutuba
Hapo anatumika kijinga tu.Analaumiwa Rais Samia.
Hapo anatumika kijinga tu.
Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.
Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".
Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
Hiyo Chadema inayokufanya utambe kwenye Vilabu vya Pombe sisi ndio tuliiasisi pale Kisutu Majamatini kwa Mzee Ndesamburo 😂😂😂Hahahaa.....kumbe unaelewa elewa baadhi ya mambo. Nakuonaga kama mweupe fulani hivi. Samahani lakini.
IF SHE IS AN ACCOMPLICE? ONE CAN SPECULATE ON HOW THE ISSUE IS BEING HANDLEDFamilia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa dola na kupunguza hofu iliyotanda nchini.
View attachment 3134826
Soma pia: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Hahahaha....Sasa Hapa Chadema imekujaje?Hiyo Chadema inayokufanya utambe kwenye Vilabu vya Pombe sisi ndio tuliiasisi pale Kisutu Majamatini kwa Mzee Ndesamburo 😂😂😂
Wewe ndiye unatetea ujinga tu, hakuna mtoto mdogo humu wa kuamini hizo nadharia zako. Mumeua basi, Mungu ndiye hakimu wa haki.Hapo anatumika kijinga tu.
Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.
Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Kuuwa tu haitoshi, kuna nani aliyeuwa na kwanini kauwa.Wewe ndiye unatetea ujinga tu, hakuna mtoto mdogo humu wa kuamini hizo nadharia zako. Mumeua basi, Mungu ndiye hakimu wa haki.
Wewe unatetea kwa misingi ya kumshabiakia Kizimkazi na siyo kwa uhalisia.Kuuwa tu haitoshi, kuna nani aliyeuwa na kwanini kauwa.
Unayajuwa hayo?
Kifo ni kifo tu.
Achana na huyo mlevi wa pombe za mchana hapo alipo yupo bwaxi kishenzi.Hahahaha....Sasa Hapa Chadema imekujaje?
Mwambulukusi ndio nani?Naona hapa analaumiwa Mwambulukusi wa TLS.
Wasipokuelewa basiUnaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.
Hivi ulikuwa hujuwi kuwa baba'ko ni mtu wa serfikali? Au hata hilo aliwaficha? Huko serikalini unafahamu alikuwa kitengo kipi?
Pengine kufichwa kwa uchunguzi wake ni faida kwenu kama familia, mkiyajuwa yote mnaweza kumkana baba yenu.
Ni Kweli Uislam popote duniani unatetewa kwa UpangaKuuwa tu haitoshi, kuna nani aliyeuwa na kwanini kauwa.
Unayajuwa hayo?
Kifo ni kifo tu.
Kaliytolea ✖️ , Kalitolea✔️Hapo anatumika kijinga tu.
Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.
Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Huyo kijana angekaa kimya tu asichokonoe pwezaNisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Kwa nini Allah hakuzuia kutekekwa, kuteswa na kuuliwa kwa Ali Kibao??Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.
Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.