Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

Acha wafu wazikane. Leo anamkana mzanzibar mwenzie na kumuita mwenye Imani haba kisa mapenzi na unazi kwa mzanzibar mwengine.
Uislam siyo imani pekee, ni mfumo kamili wa maisha.

Nani alikudanganya Mohamed Ali Mohamed Kibao ni Mzanzibari?

Huyo ni mzanzibara kama wewe tu.
 
Analaumiwa Rais Samia.
Hapo anatumika kijinga tu.

Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kalitolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzi unafanyika.

Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumkana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Umekamatika leo
Hapo anatumika kijinga tu.

Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.

Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Wenye mamlaka wanajifanya kuwa na roho ngumu isiyojali wakitegemea mifumo waliyoiweka yenye kinga kuwa hawawezi kufikiwa kwa mapinduzi, mabadiliko na jambo alilolisema Jakaya Kikwete kuwa mambo yakiharibika kabisa basi waliopo madarakani watangolewa na wenye chama au chama kingine kitaiondoa serikali kupitia sanduku la kura.

Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati".

Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
1729862910165.png
 
Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa dola na kupunguza hofu iliyotanda nchini.

View attachment 3134826

Soma pia: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
IF SHE IS AN ACCOMPLICE? ONE CAN SPECULATE ON HOW THE ISSUE IS BEING HANDLED
 
Hapo anatumika kijinga tu.

Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.

Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Wewe ndiye unatetea ujinga tu, hakuna mtoto mdogo humu wa kuamini hizo nadharia zako. Mumeua basi, Mungu ndiye hakimu wa haki.
 
Wewe ndiye unatetea ujinga tu, hakuna mtoto mdogo humu wa kuamini hizo nadharia zako. Mumeua basi, Mungu ndiye hakimu wa haki.
Kuuwa tu haitoshi, kuna nani aliyeuwa na kwanini kauwa.

Unayajuwa hayo?

Kifo ni kifo tu.
 
Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.

Hivi ulikuwa hujuwi kuwa baba'ko ni mtu wa serfikali? Au hata hilo aliwaficha? Huko serikalini unafahamu alikuwa kitengo kipi?

Pengine kufichwa kwa uchunguzi wake ni faida kwenu kama familia, mkiyajuwa yote mnaweza kumkana baba yenu.
Wasipokuelewa basi
 
Hapo anatumika kijinga tu.

Katika vifo vyote vya Watanzania hili Rais mama Samia kaliytolea ufafanuzi, tena Kiislam kabisa. Kuwa kifo ni kifo tu. Hakibadiliki. Na uchunguzo unafanyika.

Nisome tena; Uchunguzi mwingine ukiwekwa huru unaweza kumakana hata baba yako mzazi. Serikali ina siri nyingi sana. Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
Kaliytolea ✖️ , Kalitolea✔️

Uchunguzo ✖️, Uchunguzi✔️

Usilolijuwa ✖️, Usilolijua ✔️

Kumakana ✖️, Kupatikana ✔️

Kiza ✖️, Giza ✔️

Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga?

Acha kuleta ujanja ujanja kwenye masuala ya kifo familia imetoka kwa uwazi kuomba uchunguzi wa kifo cha baba yao kwa uwazi hizo siri nyingi za serikali zinaisaidiaje familia kujua ukweli maana tangu September kuna ukimya ?
 
Madhara ya muungano ndiyo haya.rais wa muungano anateka na kuua watanganyikabmchana kweupe.kusingekuwa na muungano yasingetokea haya ya kibao
 
Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.

Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.
Kwa nini Allah hakuzuia kutekekwa, kuteswa na kuuliwa kwa Ali Kibao??
 
Back
Top Bottom