FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Uislam siyo imani pekee, ni mfumo kamili wa maisha.Acha wafu wazikane. Leo anamkana mzanzibar mwenzie na kumuita mwenye Imani haba kisa mapenzi na unazi kwa mzanzibar mwengine.
Nani alikudanganya Mohamed Ali Mohamed Kibao ni Mzanzibari?
Huyo ni mzanzibara kama wewe tu.