fexcash
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 447
- 831
Acha wafu wazikane. Leo anamkana mzanzibar mwenzie na kumuita mwenye Imani haba kisa mapenzi na unazi kwa mzanzibar mwengine.Hii ndiyo unaiita chuki eeh?:
Mpaka India Wahindi wanamkubali Rais Magufuli
Hiki ni kitu cha kujivunia sana Watanzania...www.jamiiforums.com