Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

Mwenyezi Mungu ni mmpja tu, hakuna tofati wa wa waisraili na wamatumbi. Pata faida:

Qur'an 112
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Kwamba Mungu wa Israeli ni sawa na wa Hamasi? Mimi nakataa
 
Kwenda zako huko. Huu ujumbe ni wa Mwabukusi?
Kifo kile ni cha kulaaniwa na mtu yeyote mwenye kujali utu na ubinadamu achana na hizi petty issues.
Aliyefanya jambo hili liwe baya zaidi ni rais mwenyewe nadhani hotuba aliyoitoa siku ile ndio hotuba mbaya zaidi tangu nianze kusikiliza hotuba za viongozi
 
Bwana Mohamed Ali mohamed Kibao.

1) Inaonesha mlikuwa hamjuwi kazi zote za mzeew wenu, aliwaficha mengi.
2) Mbona tuliona mazikoni mpaka waziri kahudhuria, wakuu wa vyama vya siasa wamehudhuria. Wote jao wameshoimdwa kuwa mwanashewria?
3) Kuhusu "kifo ni kifo" hiyo ni nadharia ya Kiislam, nakushamngaa sana kama hulielewi hilo.
4) Yote manne uliyoyasema ni kujenhga hoja tu/ Cha msingi, kifo kimeytokea katika hali isiyo ya kawaida. Uchunguzi ufanyike na ijulikane nini ki;lichotokea.

Je, serikali ilikwambia kuwa jalada limefungwa na hakuna uchunguzi unaoendelea, au unaona suala linachukuwa muda mrefu?

Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.

Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.

Hivi ulikuwa hujuwi kuwa baba'ko ni mtu wa serfikali? Au hata hilo aliwaficha? Huko serikalini unafahamu alikuwa kitengo kipi?

Pengine kufichwa kwa uchunguzi wake ni faida kwenu kama familia, mkiyajuwa yote mnaweza kumkana baba yenu.
Namba 3 uko sahihi Kabisa kwani Mashujaa wa Waislam akina Osama, Mullah Omar, Ghadafi, Sadam nk hata Makaburi yao hayajulikani yalipo Kwa sababu za kidini zaidi
 
Bwana Mohamed Ali mohamed Kibao.

1) Inaonesha mlikuwa hamjuwi kazi zote za mzeew wenu, aliwaficha mengi.
2) Mbona tuliona mazikoni mpaka waziri kahudhuria, wakuu wa vyama vya siasa wamehudhuria. Wote jao wameshoimdwa kuwa mwanashewria?
3) Kuhusu "kifo ni kifo" hiyo ni nadharia ya Kiislam, nakushamngaa sana kama hulielewi hilo.
4) Yote manne uliyoyasema ni kujenhga hoja tu/ Cha msingi, kifo kimeytokea katika hali isiyo ya kawaida. Uchunguzi ufanyike na ijulikane nini ki;lichotokea.

Je, serikali ilikwambia kuwa jalada limefungwa na hakuna uchunguzi unaoendelea, au unaona suala linachukuwa muda mrefu?

Kama Muislam hutakiwa kuiweka imani yako kwa serikali au kwa mwengoine yeyote yule bali kwa Allah pekee.

Unaonesha imani yako iko finyu sana na unatumika kijinga.

Hivi ulikuwa hujuwi kuwa baba'ko ni mtu wa serfikali? Au hata hilo aliwaficha? Huko serikalini unafahamu alikuwa kitengo kipi?

Pengine kufichwa kwa uchunguzi wake ni faida kwenu kama familia, mkiyajuwa yote mnaweza kumkana baba yenu.

Daah...
 
Mimi tangu waliposhirikiana na sisiemu + bakwata eti kumsimea DUA..
niliwadharau kama familia, yaani "uniulie baba yangu" alafu useme njoo tufanye ibada ya pamoja kumuombea...!! Walikubaliana uzwazwa sana.

By the way leo katoa HISIA dhabiti pasipo kupepesa macho hasa aliponuKUU kwamba kifo ni kifo tu.
Pia anaonekana kama ni mlevi mlevi hivi wa pombe, au atakuwa anatumia madawq ya kulevya
 
Mwenyezi Mungu ni mmpja tu, hakuna tofati wa wa waisraili na wamatumbi. Pata faida:

Qur'an 112
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
Allah na Maulana

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
 
Kwamba Mungu wa Israeli ni sawa na wa Hamasi? Mimi nakataa
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
 
Anataka amgombanishe mama na polisi Huyo
NDIO MAANA MAMA HAJALI
 
Back
Top Bottom