econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.