othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Urusi kaaibika sn kwenye hili anguko la assad hakuna cha kuwa mbele ya muda wala nn hiyo ni hesabu wamempigia kama huna c tatu huwezi kuelewa.US ndiye dereva lkn hesabu zake siyo Syria.
Malengo ya US ni kumpoteza Russia muelekeo,anamuita ili aelekeze nguvu Syria na Iran na kupunguza nguvu na malengo yake kule kwa Zele lkn Putin yuko mbele ya muda sana,alishachungulia akajua mipango ya US ndio maana yuko kama hajui kinachoendelea Syria ijapo lazima kuna namna atatenda jambo kwa tahadhari ya hali ya juu sana.
Uchumi wake sasa umedhoofu vibaya sn kuendelea kupigana vita, hata huko ukraine anajikaza tu lkn hali yake sio nzuri, beberu sio watu wa ku mess nao watakupoteza tu.