MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Hii nguvu wanaitoa wapi means someone is helping them,atakua US tu kwakua Assad anasaidiwa na Russia,mashariki ya kati pamechafuka mnoFamilia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.