Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Urusi sio mshirika wa kutegemea sanaHii counter attack ya ghafla sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi sio mshirika wa kutegemea sanaHii counter attack ya ghafla sana!
Mkuu vita vile vya kwanza tunazozisema kuwa Arabspring kwa upande wa Syria aliyekuwa sponsor mkuu ni Qutar kwasababu Assad aligomea kuachia njia ya kupitisha mabomba ya gesi kutoka Qatar kwenda Ulaya. Hivyo Russia aliingilia ili mafuta yake yasikose soko kwa maasimu wake.Umefafanua briefly but so clearly! Nimeelewa. That's why Russia inahakikisha Assad haondolewi ili kulinda maslahi na influence yake Ulaya upande wa gas and petroleum. Dah; hii dunia ina mengi sana.
Ilikuwa atolewe kwenye ule mtanange uliopita. Russia akaja kumuokoa.Hii counter attack ya ghafla sana!
Hivi kuna sehemu ya ardhi ya dunia hii ambayo bado haina mwenyewe ambayo Misri wanaijua? Kama hakuna napendekeza Assad akajimegee Russia maana ni kubwa mno.Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
Linatakiwa lipite bomba la gesi hapo kutokea Qatar kwenda Ulaya. Ili wazungu waachane na gesi ya Urusi. Sasa Mrusi anapigania maslahi yake hapoSioni athari yoyote ya Assad hapo middle east. Sijui kwanini nguvu nyingi zinatumika kumwondoa while he is almost useless.
bonge la kobaz limejibuSio
Hizo nguvu wangepeleka kwa makafiri Israel?
KWAIYO m'meshafika Damascus ya mpiji majoee⁷Its all over
Marekani alikimbia Afghanistan akiiyaacha Serikali Kibalaka wake nao Wakimbia kila m'moja na njia yake adi leo awaamini macho yao kama kweli Marekani alitoka mbio na chupi mkononi!!!Urusi sio mshirika wa kutegemea sana
Mmefika wapi Assad anawasubili Damascus awape Chai wageni wake!!!unaongea kama mohamed al sahaf waziri wa sadam huseini
Hayawi... Hayawi...!Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
TimbwilitimbwiliFamilia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
Na Uk mbona ujatoa maoni yako ile Famiry y kifalme!!!!Afurumushwe tu syria,syria imekuwa nchi ya familia ya Assad kuanzia baba yake mpaka yeye wameongoza watu
tupe source imewai sema Ukraine imeshinda vita vya UrusiSisi sio kama nyinyi mnao sema Ukraine ina shinda huku Urusi ikiendelea kuteka maeneo.
UK inaongozwa na bunge na baraza la mawazir , hao ndo watendaj wakuuNa Uk mbona ujatoa maoni yako ile Famiry y kifalme!!!!
Una roho mbaya sana ya kimaskin.namba ya mganga ni ya kumnyima mtu?[emoji706]One dictator down. More to go
Una miaka mingapi?Marekani alikimbia Afghanistan akiiyaacha Serikali Kibalaka wake nao Wakimbia kila m'moja na njia yake adi leo awaamini macho yao kama kweli Marekani alitoka mbio na chupi mkononi!!!