MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Hii nguvu wanaitoa wapi means someone is helping them,atakua US tu kwakua Assad anasaidiwa na Russia,mashariki ya kati pamechafuka mnoFamilia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
Enzi zimefikia mwisho - enzi za ukoo wa Assad. Let the Ayatollahs get prepared.All the best
ajabu yake, wanakimbia halafu wanawaacha wapiga kura wao, raia waliowapigania mno, wabaki palepale. hapo ndio wananchi tujifunze namna tunavyopigania hawa tunaowaita viongozi wetu. hapo hadi chawa wake wamebaki wafe pale syria ila ndugu zake ndo kaondoa.Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
UnaumwaHao waasi watapigwa comeback ya hatari. Wanajeshi wa Assad wameenda kukusanya nguvu Damascus soon watakomboa miji yote.
Hao waasi silaha na vyombo wanavyotumia nawaonea huruma maana watateketezwa kama nzi waliopuliziwa dawa ya rungu.
Safari hii sidhani kama kutakua na comebackHao waasi watapigwa comeback ya hatari. Wanajeshi wa Assad wameenda kukusanya nguvu Damascus soon watakomboa miji yote.
Hao waasi silaha na vyombo wanavyotumia nawaonea huruma maana watateketezwa kama nzi waliopuliziwa dawa ya rungu.
Wavaa vipedo!?Nyuzi kama hizi wavaa vipedo Huwa Hawachangii. Sasa sijui hakuna wanawake na watoto wanaokufa huko?
Hili eneo upanga umetembea toka Kaini hadi leo hawapoi hawa watu. Dini zimeibuka kujaribu kupoza situation kinyume chake ni kumwaga petroli kwenye moto.Mashariki ya kati kuna rahana
Syria ni transit ya silaha kwa hizbullah,njia yenye gharama nafuu kupitisha bomba la gesi toka Qatar,uae kwenda ulaya, kupunguza influence ya Iran kwa kumuondoa mshirika wakeSioni athari yoyote ya Assad hapo middle east. Sijui kwanini nguvu nyingi zinatumika kumwondoa while he is almost useless.
Israel and the west wants a friendly regime in Russia. One they can controlSioni athari yoyote ya Assad hapo middle east. Sijui kwanini nguvu nyingi zinatumika kumwondoa while he is almost useless.
Ni nato na USAHii nguvu wanaitoa wapi means someone is helping them,atakua US tu kwakua Assad anasaidiwa na Russia,mashariki ya kati pamechafuka mno
Ofisi yake imekanusha kuwa yeye bado hajakimbia lakini ni suala la muda tu. Kweli hakuna kisichokuwa na mwisho. Ndiyo maana nasemaga hata CCM siku zake zinahesabika.Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
Umefafanua briefly but so clearly! Nimeelewa. That's why Russia inahakikisha Assad haondolewi ili kulinda maslahi na influence yake Ulaya upande wa gas and petroleum. Dah; hii dunia ina mengi sana.Syria ni transit ya silaha kwa hizbullah,njia yenye gharama nafuu kupitisha bomba la gesi toka Qatar,uae kwenda ulaya, kupunguza influence ya Iran kwa kumuondoa mshirika wake
Unahitaji shule kubwa sana kuelewa umuhimu wa Syria. Yaani nchi inatolewa macho na Russia, Iran, US, Israel, Turkey nk. bado hujui yaliyomo?Sioni athari yoyote ya Assad hapo middle east. Sijui kwanini nguvu nyingi zinatumika kumwondoa while he is almost useless.
Sisi sio kama nyinyi mnao sema Ukraine ina shinda huku Urusi ikiendelea kuteka maeneo.Leo una akili timanuš¤£
Nawashauri waje Zenj wakafaidi upepo mwanana. Kkkkkk!Familia ya Rais Assad imekimbia nchini Syria wakati ambapo waasi wamebakiza maili 12 kuutwaa mji wa Damascus.
Mke wa Assad na watoto wao wamekimbilia Urusi , huku wanafamilia wengine kama ndugu wa mke wa Assad wakipata hifadhi UAE.
Misri ilikuwa imemuomba Assad aondoke Syria akaanzishe serikali nje ya Syria.
Wanajeshi wengi wa Syria wamekimbilia Iraq.
DamascusAssad yupo wapi?
Hivi hujui kuwa maneno na matamanio yoyote hayana maana yoyote kama hayaendani na uwezo?Hao waasi watapigwa comeback ya hatari. Wanajeshi wa Assad wameenda kukusanya nguvu Damascus soon watakomboa miji yote.
Hao waasi silaha na vyombo wanavyotumia nawaonea huruma maana watateketezwa kama nzi waliopuliziwa dawa ya rungu.