Familia ya Rais Assad yakimbia Syria

WEst wanahesabu kali sn, wamempa kibinyo urusi kule ukraine, wakatoa somo kwa iran na hezbolah kisha wanamalizia kumtoa assad.

Hizi hesabu kama huna C tatu huwezi kuelewa
D nne ndio hutaelewa kabisa. shughuli imeisha hiyo
 
Hii nguvu wanaitoa wapi means someone is helping them,atakua US tu kwakua Assad anasaidiwa na Russia,mashariki ya kati pamechafuka mno
US ndiye dereva lkn hesabu zake siyo Syria.
Malengo ya US ni kumpoteza Russia muelekeo,anamuita ili aelekeze nguvu Syria na Iran na kupunguza nguvu na malengo yake kule kwa Zele lkn Putin yuko mbele ya muda sana,alishachungulia akajua mipango ya US ndio maana yuko kama hajui kinachoendelea Syria ijapo lazima kuna namna atatenda jambo kwa tahadhari ya hali ya juu sana.
 
Afurumushwe tu syria,syria imekuwa nchi ya familia ya Assad kuanzia baba yake mpaka yeye wameongoza watu
 
Assad ni kiungo muhimu kati ya Iran na Hezbollah
Na kizuizi muhimu bomba la gas kutoka Qatar na UAE kwenda Ulaya kuendelea kumpa Russia economic power na influence Ulaya. Hiyo nimeelewa.
 
Hao waasi watapigwa comeback ya hatari. Wanajeshi wa Assad wameenda kukusanya nguvu Damascus soon watakomboa miji yote.
Hao waasi silaha na vyombo wanavyotumia nawaonea huruma maana watateketezwa kama nzi waliopuliziwa dawa ya rungu.
Typical mmatumbi

Kila kitu kwake ni filmee
 
Sema ASSAD Ilibidi aondolewe miaka mingi , wakati wake umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…