Familia ya Rais Assad yakimbia Syria

Urusi kaaibika sn kwenye hili anguko la assad hakuna cha kuwa mbele ya muda wala nn hiyo ni hesabu wamempigia kama huna c tatu huwezi kuelewa.

Uchumi wake sasa umedhoofu vibaya sn kuendelea kupigana vita, hata huko ukraine anajikaza tu lkn hali yake sio nzuri, beberu sio watu wa ku mess nao watakupoteza tu.
 
Hao waasi watapigwa comeback ya hatari. Wanajeshi wa Assad wameenda kukusanya nguvu Damascus soon watakomboa miji yote.
Hao waasi silaha na vyombo wanavyotumia nawaonea huruma maana watateketezwa kama nzi waliopuliziwa dawa ya rungu.
Khe! Usolii usolii! Shailla ah
 
Assad aliendesha kibabe Sana Syria..ilikuwa n swala la muda tu
 
Endelea kuamini uaminivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…