Dongo La Kiemba
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 1,830
- 1,263
kwenye epa nayo ilikuwa uzushi...hii nayo mpk imeingia bungeni...kwann kina kafulila wasifungwe kwa kuleta maneno ya kizushi!Watanzania wana akili sana. Hawawezi kuandamana kwa uzushi kama huu
Familia ya jk ni kubwa sana sijui inawezaje kuhusika yote watanzania wote ni familia ya jk kama hawa.
Mkuu, hayo majina hawezi kukutajiaViongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Mkuu Yericko, naomba utujuze pia majina ya viongozi hao wa upinzani
Kaka MSALANI, hakika inasikitisha sana uzushi wa Yeriko unaachwa muda wote huu. Wadau wengi wamemuomba athibitishe lakini mpaka sasa ameshindwa kuweka huo ushahidi sana sana anaongeza porojo tu
Ndo maana mkuu anatibiwa marekani wakati mhimbili kuko hoi na serikali inadaia pesa nyingi na MSD
View attachment 201051[o/QUOTE]
Mtakuja kufa kwa presha.
Dongo, hoja hapa ni Yeriko kuitaja familia ya JK kuhusika na Escrow. Tumemtaka athibitishe ila mpaka sasa kakimbia mjadalakwenye epa nayo ilikuwa uzushi...hii nayo mpk imeingia bungeni...kwann kina kafulila wasifungwe kwa kuleta maneno ya kizushi!
kila kitu kimekuwa siasa nchi hii..itakuwa ngumu kutofautisha uongo na ukweli maana serikali ka haipo..
Rais kutibiwa marekani siyo inshu kubwa...muhimu ni afya na hali inaruhusu...tofauti lazima iwepo tu, upende usipende...Ndo maana mkuu anatibiwa marekani wakati mhimbili kuko hoi na serikali inadaia pesa nyingi na MSD
View attachment 201051
Duniani tuna watu wa aina hizisasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
Mkuu, hayo majina hawezi kukutajia
Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani.
Yericko yeye kaanika...cye tuangalie kwa pande zote mbili na watu wa makumbusho wafanyie kazi...ka sio kweli wamchukulie hatua maana watu wa haina hii ndio hupandikuza chuki kwa wananchi dhidi ya viongozi...KAMA NI KWELI......inaumiza sana,hii nchi ni yetu sote,hatuna pa kukimbilia.Dongo, hoja hapa ni Yeriko kuitaja familia ya JK kuhusika na Escrow. Tumemtaka athibitishe ila mpaka sasa kakimbia mjadala
Huwezi kuhonga watu wasio na influence. Halafu wakusaidie kwa lipi wakati hawana timu nyuma yao?John Cheyo,A.Mrema na Dovutwa nao niwapinzani?
Huu ukimya wa muda mrefu wa tumaini letu vijana wa Tanzania Mh JJ Mnyika unatutisha,,, anyway ukiona kobe kainama ujue anatunga sheriaMnasema katima yote ya madini imehongwa,Mnyika nae si mjumbe?!
Kutokana na Kamusi ya Kiswahili ya Karne ya 21;Kumbe Yeriko Nyerere umekuwa mbea kiasi hiki? Khaaaaa! Njoo uchukue kanga yangu nikuvalishe
Hivi Riziwan aliwahi kumfungulia Dr.Slaa mashtaka vile!Unapata faida gani kutungia watu uongo? Miraji na Salama fungua mashtaka haraka iwe fundisho kwa watu wa aina hiii