Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani.
Umeka unalili uzi ufutwe,Dongo, hoja hapa ni Yeriko kuitaja familia ya JK kuhusika na Escrow. Tumemtaka athibitishe ila mpaka sasa kakimbia mjadala
Yericko ili kuondoa utata na ukakasi wa hili jambo..ni vyema utuambie pasipo shaka hiyo Kampuni ya Simba trust ya Australia imesajiliwa hapo BRELA kwa majina hayo halisi au..na kama kuna ushahidi pia uweke ili usije ukaambiwa unafanya ushabiki wa wa kisiasa tu ama unaichukia familia ya Mheshimiwa Rais japo kwa kweli ni hatari. Tusaidie katika hili mkubwa japo lisemwalo lipo......
Kuna harufu ya mtu kwenda mahakamani kwa uzushi.
Mkuu Olesa,
1. Kwanza asante, ila nakuomba usitetee inconsistances na contradictions!, kama amefanya uchunguzi Brella, na kuibuka na majina ya wamiliki, mtu huyo, kwenye posti hiyo hiyo, hawezi tena kuuliza wamiliki ni nani?!.
2. Mwisho wa fiduciary relationship kati ya mzazi na mtoto, inaishia pale mtoto anafikia "the age of the majority!", hivyo chochote kinachofanywa na mtoto above 18 years, motto huyo anakuwa resiponsible, hata kama pesa alipewa na wazazi!, huwezi kumwingiza mzazi kwenye shaky deals za mtoto above 18!. Hapa tuko kisheria zaidi, ila kwa upande wa morality, hayo ni mengine, after all makosa ya morality mengi sio criminal!.
Pasco.
Dada, hawa uzushi kwao ndo jadi yao
Unaambiwa ushahidi atakabidhiwa mkuu mwenyewe .Chadema tabia ya kuchafua watu msidhani siku mkipata madaraka mtabaki salama.lengo lako ni nini kama unadiriki hata kutaja vitu bila ushahidi.shame on you
wapumbavu ka wewe tunawapuuza siku zote,umeshindwa hata ku-challenge mada,unaleta papuchi kunuka hapaKumbe Yeriko Nyerere umekuwa mbea kiasi hiki? Khaaaaa! Njoo uchukue kanga yangu nikuvalishe
Dada, vipi umejifungua ule ujauzito?Naona madada mnapongezana.
Yeriko amesema kuwa anao ushahidi, kwa nini anauficha?Unaambiwa ushahidi atakabidhiwa mkuu mwenyewe .
Am not surprised with all these, the son in law of first family is well known a deal maker. It is just amazing how we, Tanzanians are blinds.......we elect thieves into public offices........we elect hyenas to take care our goats and when our goats are consumed we wonder why.I long lost the pride of being Tanzanian
Mkuu, busara yako iwaongoze watanzania wote. Hongera sanalife is ful of suprises... lets wait and see ya kweli ni yapi mana mitandao yetu ii pia inachangia kwa uchochezi. thts the cyber bullying we are trying to avoid it..