Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Sawa! Ila umeangalia zaidi kwenye pesa, je ni kweli pesa ni kila kitu kwa watoto?Endelea kusubiri meli Airport
Lakini ungekua na akili kidogo tu, ungeelewa kwamba children are expensive na hela wanayoenda kupewa kwa niaba ya watoto inatua mzigo mkubwa sanaaaa.
Kwa mfano tu mtu akipata 250M kwenye mgao after makato na expenses, 10% return once fixed ni 25M kwa mwaka which is 2+M per month, hiyo hela unalea mtoto bila stress na akikua bado anakua na fungu lake.....
AU ULITAKA MZIMU WA JAMAA UFUFUKE UJE KUWA UNAPLAY PHYSICAL DADDY ROLES?
All in all uwe unauliza maswali yenye akili kidogo sawa?
Ht sijuiNdivyo walivyo amua kuzigawa hivyo
Ina maana zama angezaa watt wa4 angeondoka karibia na pesa yote duh
Kwakweli tuwe tuna angalia watu wa kuzaa nao🙌🙄🤣Nasikia 650
unajua kusoma na kuelewa, au na wewe ni demu wake na regy?Ni maisha yao lakini. Mbona kama unachukia life style yao!? Kuna kitu wanakupunguzia!?
sawa demu wa regy, unawashwawashwa sana na klyn, hakuwa sehemu ya mada ila umemwingiza, ulitamani kuwa yeye?Kumbe Regina hahusiki kwenye kuendesha IPP,
Umehadithiwa au upo kwenye management, kama haupo kwenye management na hufanyi kazi IPP, hayo unayoyaongea ni hear says maana nachojua Regy kaanza kuingia toka mzee wake yupo hai na
Bro tafuta wa kufanya nae majadiliano.....Sawa! Ila umeangalia zaidi kwenye pesa, je ni kweli pesa ni kila kitu kwa watoto?
Nakazia.Wazazi wake na Ruge sio maskini.
Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
Ahsante mkuu uwe na siku njema 🙏🏽sawa demu wa regy, unawashwawashwa sana na klyn, hakuwa sehemu ya mada ila umemwingiza, ulitamani kuwa yeye?
yes uko sahihi.Mimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.
Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.
Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.
Bilionea Msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
Sijui. Ila najua wewe una gubu na Regy baada ya kukupiga chiniunajua kusoma na kuelewa, au na wewe ni demu wake na regy?
Familia ya Bw. Machache je?Wazazi wake na Ruge sio maskini.
Ruge kazaliwa Marekani miaka ya 70s.
Imagine miaka ya 1970 baba na mama tayari wanaishi Marekani.
Ruge baba yake professor UDSM na mama yake Ruge pia ni PHD holder anafundisha UDSM.
Familia ya Ruge sio familia ya kina kajamba nani. Ya kugombania urithi
680 almost 700m na Zama tv imefufuka ghafla sasa hv[emoji15]Mke wa rommy, makubwa
Kwahiyo zama ana mil 600 + maana ye ana watt 2
Aloooo[emoji119]
Hahahaaa...wengine wanatamani nao wangezaa watoto wawili au zaidi!Ndivyo walivyo amua kuzigawa hivyo
Ina maana zama angezaa watt wa4 angeondoka karibia na pesa yote duh
Balaa tupu mjini mipango sanaaa...hahaaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabutua had kwa mzungu tena. Woiiih
Umejuaje?Sijui. Ila najua wewe una gubu na Regy baada ya kukupiga chini
Binafsi Mimi ndio ningekuwa mMoja wa watoto wa Bwana Machache, ningefanya kama walivyofanya. Siwezi kuwalaumu najua wanachopigania.Familia ya Bw. Machache je?
Ni tabia tu za watu wala havihusiani sana na umasikini.
Kumbe zama tv zilizima🤣🤣680 almost 700m na Zama tv imefufuka ghafla sasa hv
Ndio kazaa na mke Wa rommy
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5Ukitaka watoto wengi kwa kutegemea mwanamke mmoja akuzalie hao watoto. Jitahidi umuoe mapema sana. Kabla hajazidi miaka 20 awe ameshaanza kukuzalia..
Wanawake wanapata mimba zisizo na changamoto wanapokuwa wadogo.
Ila ukioa mwanamke wa miaka 28 ama 30. Hawezi kukuzaliwa watoto wanne ama watano. Labda apate mimba za mapacha
Wengine tuna mitambo ya kutotolesha baba mpaka mimba tunaziogopa na nimeanza kuzaa ndani ya 30 hapa mimba 2 watoto 5
Mdogo angu yuko 30 nawe unataka wa 20 hana vigezo kwakoHongera sana Yaelekea umepiga mapacha dabo dabo.. mimba moja watoto watatu na mimba nyingine watoto wawili
Nipe na mie nioe mdogo wako. Maokoto yapo ya kutosha tu.
Napenda sana watoto