Tetesi: Familia ya Ruge ni kati ya familia za kuigwa katika mirathi

mimi najibu facts nakutajia na majina. wewe unaleta story za kusikia sikia.

kama Hoja yako ni ya kweli naomba unijibu haya maswali yangu machache

1. engagement ya nandy na ruge ilifanyika wapi na lini ?

2. Ruge pamoja na ndugu zake Ruge walienda kulipa mahari kina Nandy lini ?

3. vikao vya ndoa vilifanyika wapi na kina nani walikuwa wanakamati ?

majibu ya haya maswali yatatupa ukweli halisi

January ni mnogeshaji kijiwe tu kwenye kila misiba kila mtu anasema lake, jiulize Je mipango ya ndoa ama tarehe ya ndoa inapangwaje huku mtu akiwa kalazwa hospitali ?
Mimi sio mwanafamilia wa Ruge...
Nabaki na ninachokiamini na wewe baki na unachokiamini.
But as far as circumstantial evidence zilizopo na fact ambazo watu wa karibu waliziongea wahusika wa karibu including Nandy mwenyewe plus KIPAUMBELE alichopewa kwenye msiba naamini nnachoamini as for you GO ARGUE WITH YOUR KEYBORD na kama una mali za kueleweka basi endelea kusambaza mbegu
 
Sina uhakika maana mimi nimeokota huko duniani plus nimeona ona comments kwa mama ulisi za wananzengo, pia kuna video kwa baby mama mmoja wakiwa wote watatu kwenye range ya Mrs ulisi nadhani itakua ndo ishu hiyo.
Ile siku hata Mimi nilipowa ona pamoja nikajua wapo kwenye ishu ya maokoto 😂😂😂😂
 
Ruge kafariki akiwa na miaka 50. Nandy alikuwa kachumbiwa kienyeji ili imani izidi. Kama alivyomchumbia zamaradi ila kumuoa akagoma

Ruge kuchumbia kienyeji kaanza zamani. Ila ndoa haoi,, Mwanzoni kabisa alimchumbia dada anaeitwa Beza ambaye alizaa nae first born wake anaitwa Mwachi
HUyu mwachi ni dj pale tips sijui kama bado yupo mpaka leo
 
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.
Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.

MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.
Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.

Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.

Joke: wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni 😄 🤣 😂 😆 THE LORD IS YOUR SHEPHERD
Unakaa kusubili mume afe akuachie mali tafuta zako kama wanawake wengine, usigeuze watoto mtaji,
 
Kwenda huko na wewe.... sperm donors mnapenda kujitetea.
Mtoto ni wa baba na mama sawa?
So malezi ni pande pili kama una akili timamu.
Hao watoto hata baba yao alivyofariki walikua wanakula, wanavaa, wanalala na wote wanasoma shule nzuri.
Urithi wa baba yao umewaongezea mama zao walipoishia, umewapunguzia mama zao makali ya kulea wenyewe, na kama mama zao watazitumia pesa vizuri basi wataongezea watoto wao opportunities za kutusua kwa upana zaidi.

Wababa responsible oyeeeeeeeeee...........
 
sio mbaya!bil 2 kwa watoto sita kila mtoto kaondoka na mil 333.333
 
Kwenda huko na wewe.... sperm donors mnapenda kujitetea.
Mtoto ni wa baba na mama sawa?
So malezi ni pande pili kama una akili timamu.
Hao watoto hata baba yao alivyofariki walikua wanakula, wanavaa, wanalala na wote wanasoma shule nzuri.
Urithi wa baba yao umewaongezea mama zao walipoishia, umewapunguzia mama zao makali ya kulea wenyewe, na kama mama zao watazitumia pesa vizuri basi wataongezea watoto wao opportunities za kutusua kwa upana zaidi.

Wababa responsible oyeeeeeeeeee...........
wanawake wavivu hufikili kama wewe jifunzeni kujitegemea sio kukaa kusubili mali za urithi,
 
Mimi ruge kanifurahisha kugoma kwake kuoa baada ya kugundua kazaa watoto wengi na wamama tofauti tofauti.

Hii imepunguza sana migogoro kwenye mirathi yake.

Angekuwa amemuoa mwanamke mmojawapo..mirathi ingekuwa na usumbufu mwingi sana. Wanawake wana tamaa sana hasa wakiwa na cheti cha ndoa.

Bilionea msuya ni mfano hai ya wake wa ndoa walivyo na tamaa
Natamani kila mtu angekuelewa ulichosema hapa.
Siyo Bilionea tu, Chukua na ya Mzee wetu wa Machame jinsi ambavyo mlimbwende anataka kusambaratisha ukooo. Married women are ...
 
According to taarifa zinasombaa mtandaoni, asset ya maana Ruge aliyoacha imeuzwa kwa Bil 2 za kitanzania.

Lakini jambo zuri kuliko yote, wanufaika wa mgao hao ni watoto 6 wa Marehemu tu. Kazi kwa mama zao kuwasimamia watoto wafaidi urithi wa baba yao kama WANA AKILI TIMAMU. Maana baba kajua kuwatunza wanae kutoka kaburini, sio kama wanaume wanazaa kama panya na kutunza watoto hawatunzi tena wakiwa hai na vijisababu kibao ati amejibebesha mimba.
Maana sehemu ya pesa hiyo ikiingizwa UTT au government bonds watoto wanasoma mpaka chuo kikuu bila shida.

MY TAKE: Kuna Wimbi kubwa kwa ndugu wa mume kuwa na nongwa kweli na mali za marehemu, wengi huwa hawajahusika hata kuzitafuta. Mke na watoto unajikuta umebaki unahangaika kama vile hukuachiwa chochote.

Hii familia ni ya kupongezwa na Mungu awabariki kwa mioyo yao isiyo na tamaa. Kazi kwao wasimamia mirathi.

Na wewe mwanaume kama upo hai na unashindwa kutunza wanao/mwanao kwa uwezo wako uliobarikiwa, jua wewe ni mbwa koko tu maana dunia imeendelea hakuna mama mwenye uwezo wa kumzuia baba kutunza mwanae baba akiwa na nia.

Joke: wale ambao mnazaa na watu wakifa wanawaachia magonjwa, msururu wa watoto wa nje na madeni juu poleni [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] THE LORD IS YOUR SHEPHERD
Hivi kwa nini mnawazaga .wanaume kutangulia kufa kabla ya mwamke[emoji24]
 
Source ya unachokipngea? Au unatuokotea gossips za mitandaoni zisizo na ushahidi?

Moderator
Badala ya kuendeleza baba yao alipoishia wao wanauza wanaanza na moja, ndo maana umaskini africa hautaisha[emoji1][emoji1]

Ni balaa. Watoto 6. Wa mama tofauti watano.

Wanawake watano wanaanzia wapi kupatana kuendeleza kitu ?
 
Back
Top Bottom